Recent content by mbarikiwa2017

  1. M

    JamiiForums Tanzania Binti aliyetelekezwa na Lowassa asema Fred alimtambua na kumhudumia. Lowassa agoma kupima DNA

    Kama mzazi hataki basi unaachana nae,Baba wa Mbinguni anatosha jmn.....
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenzangu, usigombane na mwanamke mwenzako kisa ni mchepuko wa mume wako

    Inategemea,labda kama nawewe ni mchepuko
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

    Dah mwanangu mdogo nikimtizama tu usoni pindi amelala basi anaanza kuchezesha na anaweza kuamka nikiendelea kumwangalia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

    Siamini ktk kamali,Mungu kakataza kwanza
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Irene Uwoya afunga ndoa na Dogo Janja?

    MOO
  6. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

    Aisee mkuu kuna watu wanashabikia wakati wanapokea 500k na maisha yanasonga,bora angebembeleza ajengewe nyumba na miradi mingine kwa ajili ya kuendeleza kipato cha mtoto tatizo hata hiyo M5 anayotaka itaishia kwenye nguo na nywele nasio kwa future ya mtoto,mwanaume sio mtu wa kushindana nae au...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake warembo sio kwa ajili ya kuoa/kuolewa

    Tofautisheni urembo na uzuri wa asili,
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

    Kwa mwanamke ambaye ana mtu wake awe mume au mpenzi ambaye watu wote wanafahamu mahusiano yao alafu mwanamke mwingine akatembea na mume/mpenzi wako ilihali anajua mahusiano yenu aisee inauma sana ,na wengi wanaomsapoti hamisa ni michepuko na wadangaji,pole zari
  9. M

    JamiiForums Tanzania Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

    Amina Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu kazaa nje mtoto wa kiume

    Pole ila kuliko kuishi na maumivu moyoni ni kheri ujikatae tu mapema,mpishe aishi na huyo anayehisi yeye anamfaa zaidi,muda ni tiba nzuri utasahau utazoea mana kuishi na mtu aliyekusaliti aliyekudharau akaona hujatosha alafu uendelee kuwa naye karibu usijekujikuta unamwekea sumu au kumchoma kisu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tumuombee msanii maarufu kwa jina la Jini-Kabula

    Maskini,Mungu amrudi na kumponya naamini akili ikirudi sawa ataokoka
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mubashara: Sahara media warudi hewani

    Ntaangalia marudio kesho
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, naweza nikapata jicho la bandia? Naweza nikalipata wapi na kwa gharama ya sh ngapi?

    Pole sana,ila kikubwa uzima.....ngoja waje wanaojua ila unaweza kutumia miwani nyeusi kama haujisikii comfortable kutoka nje unavaa hiyo miwani,pole sana Sent from my T1-701u using JamiiForums mobile app
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Natamani nioe mke wa pili na nina ndoa ya Roman catholic

    Uliyemuoa ndio chaguo lako,hutapata mkamilifu hata huyo mpentecoste ukiishi naye ukaona mapungufu yake utamchoka pia.....jitahidi kuwa na upendo wakweli unaoweza kustiri wingi wa dhambi(mapungufu)ya mwenzi wako,na ukumbuke dunia mapito k isikutenganishe na Muumba wako,na huyo mpentecoste...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina 10 za wanawake wanaopendwa na wanaume

    Mbona sijioni kuanzia 1-10
Back
Top Bottom