PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto akililia wembe mpe.tetesi Mara paaap no kweli dongo janja amefunga ndoa na irene uwoya
Hahahahahahembu acheni upuuzi, huyu dogo hawezi kuvaa viatu vya ndikumana labda kama wanasagana
we si nilikuita siku ile ukagoma!Maajabu yanaendelea
Uliniita wapi?we si nilikuita siku ile ukagoma!
Mods wamefuta uz wangu wakaruhusu huu kwaniniMaajabu yanaendelea
Kumbe waliufuta??niliuona janaMods wamefuta uz wangu wakaruhusu huu kwanini
uzi wako ulikuwa unahusiana na hawa kunguru wasiofugika wa bongo movie au ni kuhusu MURO!Mods wamefuta uz wangu wakaruhusu huu kwanini
embu acheni upuuzi, huyu dogo hawezi kuvaa viatu vya ndikumana labda kama wanasagana
jamaa zake wa zamani wamebarikiwa na muumba kuwa na siraha za maangamizi.Hbab, Ndikumn au na Dogo naye ana siraha kama za Mkorea nini