Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,007
- 1,600
Saikolojia inasema kwamba kwa kiasi fulani badhi ya wasichana waliojaaliwa kuwa warembo au kuwa akil sana huwa ni viburi na malaya ila siamini hiloBeuty with no brain
Saikolojia inasema kwamba kwa kiasi fulani badhi ya wasichana waliojaaliwa kuwa warembo au kuwa akil sana huwa ni viburi na malaya ila siamini hiloBeuty with no brain
Muda utafika tu.... Halafu utafurahi mwenyewehahahaahahahhaah waje jaman hao watu wasiojulikana mbn!
Hivi hii ni lugha ya Kiswahili kweli!? Samahani lakini.....!mkuu 'walembo' wengi sana na wanawake 'wazuli wameholewa' mbona !na 'awana' shida wana 'hadabu' tu na ni wife 'matelial' kweli kweli ! miye nina 'lafiki' yangu 'mzul'i tu na 'ameorewa' na anajitambuha mbona
Muda utafika tu.... Halafu utafurahi mwenyewe
Hivi hii ni lugha ya Kiswahili kweli!? Samahani lakini.....!
Salamu zake wa kupepelewa..... ngoja tuwajibike.hahha haya ngj tusubirie maajabu ya Mnyaazi MUNGU
Asante my friend. Kazi njema nawe pia.kazi njema
Mbona unatoka nje ya mada?poleMwanamke matunzo. Urembo unakuja tu wenyewe. Wanaume wengi wanapenda kutafuniwa Ndio maana wanakuja na propaganda Kama hizi. Mpe matunzo yote anayostahiki mwanamke wako uone Kama hajawa mrembo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo lugha balaamkuu 'walembo' wengi sana na wanawake 'wazuli wameholewa' mbona !na 'awana' shida wana 'hadabu' tu na ni wife 'matelial' kweli kweli ! miye nina 'lafiki' yangu 'mzul'i tu na 'ameorewa' na anajitambuha mbona
Tunaomba mtazamo wako tafadhaliNi mtazamo wako huo