Recent content by mbahachu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni jambo jema wazee kuwa na hekima

    Habari za wakati huu wanaJF, Katika harakati zangu za kila siku, kuna maeneo nikiwa napita hapa Dar es Salaam (eneo nalihifadhi) Nikamkuta Dada yuko namtoto mdogo amemshika mkono. Kwakumwangalia mtoto huyo ni level ya baby class. Pembeni kulikua na baraza ndefu ambayo mzee alikua amekaa...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma sana jamani

    Ha haa haaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yapata tuzo ya Uhamasishaji wa Uhuru wa Maoni/Taarifa nchini kutoka UTPC

    Honestly JamiiForums hongera sana kuanzia uongozi, members na jamii kwa ujumla . Ni jambo la furaha sana kuona umuhimu wa JamiiForums katika tasnia ya habari tunaoupata sisi kama jamii unajulikana kimataifa .
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Njia ya kuondoa ndevu kwa mwanamke

    Kwakweli mada imenigusa sanaa hata Mimi ndevu zinaniota natamani kujua nifanye nini ili ziishe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jaji mkuu aomba kipimo cha (DNA) kitumike kusaidia kurahisisha ushahidi kesi za ubakaji

    Jaji Mkuu wa Tanzania Prof.Ibrahim Juma amesema ufanyike mkakati wa kuangalia matumizi ya kuchukua sampuli kwa ajili ya kipimo cha vina saba (DNA) ili visaidie kurahisisha upatikanaji wa ushahidi kwa watuhumiwa wanaofanya vitendo vya ubakaji na kulawiti watoto hapa nchini. Jaji Mkuu wa Tanzania...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola aonya vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara kabla ya muda muafaka

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ametoa onyo kali kwa vyama vya siasa nchini ambavyo vimetangaza kufanya mikutano ya hadhara kabla ya muda uliopangwa kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini. Waziri Lugola ameyasema hayo wakati alipokuwa katika mahojiano maalum na chombo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uganda: Msichana wa miaka tisa mwenye asili ya Congo afariki kwa ugonjwa wa Ebola.

    Maafisa nchini Uganda wanasema msichana wa miaka 9 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo aliyethibitishwa kuwa na virusi vya Ebola Alhamisi amefariki Uganda akipokea matibabu. Maafisa wanaeleza kwamba alifariki wakati mazungumzo yakiendelea kuhusu kumrudisha DR Congo kwa matibabu. Mamake...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane, nifanyeje?

    Huu niukweli usiopingika nashukuru sana kwa mchango wako,
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane, nifanyeje?

    Nipo single mimi
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane, nifanyeje?

    Usisitee
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane, nifanyeje?

    Kwakweli
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane, nifanyeje?

    Simhitaji , nanaogopa coz sijui nia yake yakurudi
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane, nifanyeje?

    Asante nashukuru
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane, nifanyeje?

    Asante
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane, nifanyeje?

    Mimi ni binti wa miaka 21, tuliachana na boyfriend wangu miaka miwili iliyopita kwasababu alibadilika ghafla yaani kila nitakachoongea kwake anawaka tu nikaona nijiepushe japo kishingo upande. Lakini cha kushangaza hata ile wiki haijaisha nikasikia ameoa na ana mtoto. Nikikumbuka kaka wa watu...
Back
Top Bottom