Mapenzi yanauma sana jamani

Mapenzi yanauma sana jamani

Kaa kijanja
image9.jpeg
 
Tusio na pesa ndo mapenzi yanatuzuzua. Ila wenye hela za bia huwa wanalewa kesho wanavuta barmaid anakaa mwezi mmoja baada ya hapo mziba pengo atakuwa ashapatikana
 
Yalinikuta hayo nikaenda kuomba ushauri kwa jamaa mmoja anajiita diamond,
akaniambia mpende akupendae asiye kupenda achana nae,
Alafu akaniambia penzi sio sumu kasome kwa kitabu.

Kwa bahati mbaya hakunitajia ni kitabu gani.
 
Mapenzi ni mchezo wa kamali lolote laweza tokea win or lose
Good thing is...love is all about abstract is not tangible...something that you can not touch but you can feel, meaning that we use emotion and not logic, so problem is upate mtu ambaye anaku feel kama wewe unavyom feel, you can enjoy love...kinyume chake andika maumivu.
 
Back
Top Bottom