Habari za wakati huu wanaJF,
Katika harakati zangu za kila siku, kuna maeneo nikiwa napita hapa Dar es Salaam (eneo nalihifadhi)
Nikamkuta Dada yuko namtoto mdogo amemshika mkono.
Kwakumwangalia mtoto huyo ni level ya baby class.
Pembeni kulikua na baraza ndefu ambayo mzee alikua amekaa.
Basi mtoto kwa hali ya uchangamfu kamsalimia yule mzee na akamwitikia vizuri.
Kisha mzee akamwangalia mtoto, kilichoniuma na kunishangaza ni maneno yaliyomtoka mzee huyoo "ooh huyu mtoto hatomaliza elimu ya primary".
Dada yule hakuyafurahia maneno Yale alishindwa kuongea akaendelea na safari.
Wanasema mkubwa hakosei ila wazee nijambo jema kuwa na hekima na busara katika jamii.