Wakuu
Naomba anayejua jinsi ya kuiroot tecno spark 3 anielekeze
Maana naona simu yangu inajaa jaa sana
Nataka niiroot ili niweze kufuta baadhi ya built in apps ambazo sizitumii na zinachukua nafas kubwa
Asante
Wakuu salaam,
Nataka kufungua stationery nina Milion Moja Tu Ya mtaji,kodi nishalipia tayari imebak kununua vifaa vya kazi.
Sina kitu chochote ndo nataka nikanunue.
Hebu nishaurini ninunue nini na nini kwa kuanzia na wapi nikannunue?
Wataalam wa hizi kaz naombeni ushauri wenu.
Asante
Wakuu nataka kufungua photostudio.
Wapi naweza kupata camera kali ya bei nafuu kuanzia 700k mpk 1000k ambayo nitaitumia kwa photo shooting na video shooting.
Naomba ushauri wenu wataalam wa hizi kazi.
Salaam wakuu
Ni wapi naweza kupata suti za bei rahisi za 100,000 au 110,000 Lakini classic
Maana nimezunguka Kariakoo nyingi ni kuanzia 150,000 hadi 180,000
Na mimi hiyo hela ya 150,000 sina.
Wakuu salaam??
Leo nakuja tena na uzi wangu huu
Natafuta mchumba aliye serious na uchumba
Mimi ni mwanaume
Miaka 27
Mrefu wastani ,Mweusi wastani
Najishughulisha na biashara za hapa na pale
Nataka msichana aliye serious
Umri 21-26
Awe Mcha Mungu
Aje PM tuyajenge km yupo
Wakuu habari zenu
Naombeni mnielekeze iliko Shoppers plaza kariakoo /posta...kuna vitu nimeskia vinapatikana pale so nataka nikajumue kidogo
Shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu salaam
Tupeane maujanja kuhusu machumbi ys Nguo yalipo
Nielekezeni wapi naweza kupata machimbo ya Tshirts form six na round callar Tshirts na Mashati makati kwa bei za 10000-20000
Nq machimbo mengine ya nguo
Shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu salaam
Kama kawa mishe zinaendaje huko?
Wakuu nani anaweza kutumia function ya VBA vizuri kwenye excel? Katika kujifunza baadhi ya tutorials za Excel Youtube nikakutana na hicho kitu.
Yaani kila nikijitahidi kuelewa ngoma inagoma yaani sielewi.
Nipeni ujanja wa kumaster hii kitu wakuu...
Ukimaliza CPA inabid utafute mentor wa kukumentor kwa miaka 3...anakuwa anakuelekeza kaz za uhasibu na kukupa assignments za kihasibu ufanye kwa miaka 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau salaam
Heri ya Mwaka mpya?
Wadau natafuta mentor atakayeni mentor kwa ajili ya CPA yangu, mimi nimepata CPA karibuni hapa.
Nipeni uzoefu wenu najua humu mpo, au kama kuna mentor yupo humu aje PM au aniambie nimcheki PM.
Au ni wapi niende niwapate hao mamentor kirahisi.
Unajua kazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.