Mbagala Tz
Member
- Mar 16, 2017
- 57
- 42
Wadau salaam
Heri ya Mwaka mpya?
Wadau natafuta mentor atakayeni mentor kwa ajili ya CPA yangu, mimi nimepata CPA karibuni hapa.
Nipeni uzoefu wenu najua humu mpo, au kama kuna mentor yupo humu aje PM au aniambie nimcheki PM.
Au ni wapi niende niwapate hao mamentor kirahisi.
Unajua kazi ya mitandao ni kusaidiana kuzipata information kiurahisi
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app