Naomba kujua jinsi ya kutumia VPN

Mbagala Tz

Member
Mar 16, 2017
58
125
Wakuu Salaam

Naomba mnielekeze namna ya KUTUMIA VPN...ili niweze KUTUMIA mtandao kutokana na hii shida ya mtandao

Asante
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,811
2,000
Wakuu Salaam

Naomba mnielekeze namna ya KUTUMIA VPN...ili niweze KUTUMIA mtandao kutokana na hii shida ya mtandao

Asante

Miongozo ilishatolewa sana humu.
Kwa kuwa sasa hata playstore haifanyi kazi itabidi utumie ujanja ujanja wa kudownload vpn nje ya playstore.
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
26,602
2,000
Miongozo ilishatolewa sana humu.
Kwa kuwa sasa hata playstore haifanyi kazi itabidi utumie ujanja ujanja wa kudownload vpn nje ya playstore.
Kuna Members Wameweka Ambayo Unapata Bila Kupitia Play Store, Aendelee Kuperuzi Na Kudadisi
Ila Watu Wabaya Yaani Unapewa Ujuzi Halafu Vyote Unatumia Bila Shida
 
Omary Ndama

JF-Expert Member
Apr 16, 2017
3,379
2,000
Wakuu Salaam

Naomba mnielekeze namna ya KUTUMIA VPN...ili niweze KUTUMIA mtandao kutokana na hii shida ya mtandao

Asante
Kwa Sasa huwezi kudowanload tena wameshafyeka Kila kitu kimachohusu download nchi hii, wenzenu tuliwahi mapema Kinga Bora kuliko tiba tuko mzigoni now....ni mwendo wa 6g...
 
darubin ya mbao

JF-Expert Member
Aug 3, 2016
1,320
2,000
Wakuu msaada, nimeweka proton vpn na iko active inaonyesha nipo SOUTH AFRICA lakin bado sipati hii mitandao mingine tena ikiwa active hata jamiiforam inagoma kufunguka tatizo ni nini hapo

Msaada tafadhali wengine kazi zetu zinategemea hii mitandao kwahiyo tumepigwa doro tu kwa sasa.
 
The Master pizo

Senior Member
Dec 18, 2019
134
225
Wakuu msaada, nimeweka proton vpn na iko active inaonyesha nipo SOUTH AFRICA lakin bado sipati hii mitandao mingine tena ikiwa active hata jamiiforam inagoma kufunguka tatizo ni nini hapo

Msaada tafadhali wengine kazi zetu zinategemea hii mitandao kwahiyo tumepigwa doro tu kwa sasa.
jiongeze basi kwani lazima uwe nchi moja si uchague server nyingine?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom