Wapi naweza kupata suti za bei rahisi?

Mbagala Tz

Member
Mar 16, 2017
57
42
Salaam wakuu

Ni wapi naweza kupata suti za bei rahisi za 100,000 au 110,000 Lakini classic

Maana nimezunguka Kariakoo nyingi ni kuanzia 150,000 hadi 180,000

Na mimi hiyo hela ya 150,000 sina.
 
Salaam wakuu

Ni wapi naweza kupata suti za bei rahisi za 100,000 au 110,000 Lakini cladsic

Maana nimezunguka kariakoo nyingi ni kuanzia 150,000 hadi 180,000

Na mm hyo hela ya 150,000 sina
Kuna msela humu alisema anashonesha suti bei rahisi, jaribu kutafuta huo uzi
 
Nenda Karume, kanunue koti kivyake na suruali pia zipo hapohapo. Koti 20,000 suruali 15,000 mpaka 10,000. Unang'ara kwa 35,000 au 30,000. Ila kama ndio wale wa kupenda sifa nenda kwenye maduka ya vioo ukatoe 150,000.

Kila la kheri, suti zangu nanunuaga Karume mtu akiona lazima heshima anipe..
 
nenda karume...kununue koti kivyake na suruali pia zipo hapohapo...koti 20,000 suruali 15,000 mpaka 10,000....unang'ara kwa 35,000 au 30,000.
ila kma ndo wale wa kupenda sifa nenda kwenye maduka ya vioo ukatoe 150,000.

kila la kheri.
Suti zangu nannuaga karume mtu akiona lazma heshima anipe..
Halafu unakuwa peke yako mjini Sio za dukani Kila mtu anayo
 
Ni wapi naweza kupata suti za bei rahisi za 100,000 au 110,000 Lakini classic
Kuna msela humu alisema anashonesha suti bei rahisi, jaribu kutafuta huo uzi
Chukua mawasiliano hapa kwenye link: Shona suti kwa bei nafuu mno
1602139876146.png


Bei yake ya chini ni TZS 80,000

Kazi zake zina kiwango
 
Mbona suti zipo kibao Kkoo kwa 95 mkuu tafuta Brand ya DARO kitambaa chake sio kibaya ila tatizo ni single button ila ukichukua Brand nyingine utazijutia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom