Recent content by Mba Ta Sanja

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Ada Elimumsingi

    Hakuna cha mabepari wala majamaa. Acheni wenye uwezo wasomeshe watoto wao wanakotaka.Lile suala la biashara huria limeisha?Kama priorities zako ni kulewa na starehe zingine,usinyime nafasi wenye priorities za maendeleo ya family zao.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Afisa wa Wanyama Pori TANAPA auawa kwa kuchinjwa kinyama

    A piece of advice: When thinking shit, don't think loudly....shame upon you.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la kuficha hela ughaibuni: BoT yamkana Mbowe, Kufungwa miaka 14?

    Ukiwa mwanachama wa CCM hakuna noma kwa 7bu majizi yote na mafisadi wote wako vyama vya upinzani au....
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

    Mtaweza wakati hamna uzalendo? kama mtaweza poa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Malipo ya wastaafu penshen kulikoni?

    Wewe hujui kwamba kulikuwa na uchaguzi mkuu?
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nilimkopesha pesa, baada ya kunipa penzi, kagoma kulipa

    Sijawahi fikiria kwamba mwanamke uliyemgegeda waweza mkopesha pesa.Ukiamua wampa tu kwa 7bu hawezi kukulipa na sio kwamba hana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli sasa kufuta ibara ya 46 (3) ya katiba

    Hawezi kufuta hiyo ibara. Mmesahau matamshi yake zaidi ya mara 3? sitawaangusha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Prof Lipumba, Ikulu - Dar es Salaam

    Kwa hiyo akili yako ya kichovu inakutuma kuwa hata wataalam wenye uwezo mzuri katika fani zao lazima wawe wanaccm?Wewe umekuwa addict wa CCM au una kirusi cha anticcm, sikumbuki chaitwaje.....
  9. M

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa ndugu Idd Hamisi: Rais Magufuli hamuhitaji JK?

    Bora huyo unayesema alijinyea,naona kwa comments zako wajiharishia kitandani kila siku.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na msafara wa magari 4

    Mbona mzee Ruksa alikuwa anatembea mtaa bila ulinzi?Haya ni mazingira tu ya kujitengenezea.Tunatakiwa kutengeneza marafiki wengi kuliko maadui, I hope this is the most important formulae of life.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake: Acheni kuwaiga waume zenu kutoka nje ya ndoa, mnavunja ndoa zenu wenyewe

    'The guilty are afraid' wankumbusha James Hadley Chase katika ujana wangu early 1970's.
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nigundue tabia za mume wangu sina hamu nae tena

    Probability ya kupata VVU kwa ajili ya kugegeda siyo 100%.Inawezekana sana huyo bwana awe negative.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Zanzibar watinga Ikulu ya Marekani

  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongezewe Ulinzi

    BWANA asipoulinda mji,Yeye aulindaye akesha bure.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!

    Na ni kawaida sana, mkuu atoapo ushauri implication yake ni agizo.
Back
Top Bottom