T-King
Senior Member
- Feb 5, 2012
- 172
- 100
tabia ya ufujaji kwa misafara mirefu ya rais ilianza wakati wa utawala wa mkapa. Nyerere na mwinyi walikuwa na misafara midogo kama huu wa jpm. Na ikumbukwe misafara mirefu siyo suala la usalama bali ni makeke (show off), ufahari (extravagance) na kiburi (arrogance) vya kijinga vya watawala wengi wa kiafrika.
'like"