Recent content by Mb-one

  1. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 niliyonayo sitaki usumbufu.

    colorful settings
  2. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingine ya kupunguza uzito?

    mimi nilijaribu hili ila nilikosa consistency tu yaani,nlikuwa nakula mlo mara moja tu kwa siku,hiko chakula ni kama mchesho wa kuku robo,mboga mboga nyng na tango au parachichi,nlipungua kilo 6 kwa siku 10
  3. Mb-one

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba inauzwa Mbweni

    Hajacheza na ardhi,dalali kacheza na camera, nenda kashuhudie live ndio utajua hujui
  4. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

    Tuma na Google location ya kiwanja au hata picha ,jamn mbona kama mnauza pipi
  5. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Kama GPS imejam si watumie GALILEO au GLONASS
  6. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Marekani wamegundua 2.3 billion tons madini aina ya rare earths

    Tofautisha kati ya production na deposits/reserves
  7. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Marekani wamegundua 2.3 billion tons madini aina ya rare earths

    Pia elewa China ina own 80 % of rare earth elements deposits worldwide
  8. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

    Bageni Jina la kisukuma mbona ni maarufu tu usukumani
  9. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Eng. Hersi ndani ya PSG, akutana na kina Mbape, Hakim

    Huyu eng.hersi afanye juu chini arudi na mbappe tunamhitaji wananchi
  10. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya matukio yatakayotokea mwaka huu 2024

    Nas c reenshoot Ole wako isitokee hata moja
  11. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Ukienda sheli usiseme weka full tank unaitwa mwambie hivi

    Hebu tujuzane wakuu hawa watu wanaibaje,na hv ni wezi kweli kweli.......yaani mim nahamaga shell hadi basi ,hususani wadada yaan ni shida
  12. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Madada poa wanavyoongezeka Ubungo Riverside

    Unatoa code mzazi
  13. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Je, Geita ina fursa gani?

    Wapo wenye pesa ndio,ila matanuzi mwanza,uchawi usiulize kwa wasukuma mkuu,vbaka + majambaz sio kivile,matukio ya hovyo yapo
  14. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Je, Geita ina fursa gani?

    Geita ni mji wa kiserikali na kimadini pia ,ila mzunguko wake haueleweki kwa sababu alisimia kubwa ya wakazi wa pale ni wafanyakazi wa mgodini GGM na serikali hvyo Mara nyingi siku za Wiki unakuta pamepoa....lodge zinalipa sana hapo geita,ila mambo ya maduka sidhan sana
  15. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Je, Geita ina fursa gani?

    Geita hamna mzunguko,Mara 100 kahama
Back
Top Bottom