Madada poa wanavyoongezeka Ubungo Riverside

Madada poa wanavyoongezeka Ubungo Riverside

hii biashara imeanza ata kabla Yesu hajazaliwa. kweli ni biashara sugu naya Muda mrefu.

na kuna wale ambao hawakai barabarani wako online, wake za watu , na kuna vidada mtaani ni hela yako tuu.

Ndo maana vijana wanakuwa wabishi kuoa.
Gharama za kumiliki mwanamke wa mtaani ni kubwa sana ndio mana biashara hiyo imekuwa kwa kasi kubwa
 
Mmmmmmhmn haya mambo ni mazito sana aisee. Sasa impact yake miaka 10 hadi 20 ijayo. Hizi biashara haramu zinavyomea ina maana hawa wakianza kuzeeka watataka kirecruit damu changa ambayo ni mabinti wachanga so tutaanza mambo ya pimping and Whorehouses hapa Tanzania.

Tunamruhusu shetani atutafunie kizazi chetu.

Haya yote ni matokeo ya kuwatoa wanawake nyumbani ona sasa, mabinti wanakuwa watu wazima ndoa hawaziwezi mahitaji yanawazidi wanashindwa kupata matunzo wanageukia biashara za ngono.

Kimsingi mwanamke hajaumbiwa kutangatanga, ni heri mwanaume aoe wanawake 20 wawe kwenye himaya yake watakuwa salama ila si kama hivi sasa kila mwanamke anataka awe na mume wake pekee na mbaya zaidi wanachagua wenye pesa nyingi yaani mwenye kuingizia mamilioni kila wiki. Tutafika kweli?
Hiyo biashara kwa DSM imeanza miaka mingi toka enzi za Nyerere na bado haijafikia unachotabiri kitatokea miaka 10 ijayo.
 
Huu ni ulimwengu wa kaisari! Biashara hii haiwezi iSha kwa kutumia nguvu ya polisi!

Cha msingi wapate Tin number na leseni walipe kodi TRA na lipatikane jina la kuwatambulisha kama "Biashara ya mahaba" wao wajuliane kama watoa mahaba na wapewe maeneo maalum ya kufanya kazi!!!

Na kodi Yao iwe juu sana Ili kuikomesha Biashara husika!!

Sidhani kama Kuna Binti atajipanga Barabarani kama hajalipia leseni na kodi zaidi ya kushtakiwa kwa makosa ya ukwepaji kodi!!
 
Ni wazi kuwa uongozi wa Jiji la Dar es Salaam umeshindwa kudhibiti biashara haramu ya "dada poa" ambapo hivi Sasa biashara hiyo inawavutia wasichana wengi toka mikoa mbalimbali kuja Dar es Salaam kwa sababu inalipa.

Moja ya maeneo ambayo biashara hiyo imeshamiri ni eneo la Ubungo Riverside. Kwa Sasa Kuna makahaba zaidi ya 200 wanaofanya biashara ya kuuza miili,wengi wao wakiwa mabinti wadogo wa umri kati ya miaka 16-23.

Kwa sasa makahaba katika eneo hili wanapatikana kuanzia saa 12 jioni hadi asubuhi wakiwa wamevalia mavazi ya kimtego na wengine nusu uchi ili kuwa utia wateja wao ambao kwa kiasi kikubwa ni vijana.

Wanajipanga barabarani kuanzia ilipo Land Mark Hotel hadi Micasa pub.Kila mwanaume anaepita hata hukaribishwa kupatiwa huduma ya ngono.

Gharama ya huduma hii haramu inategemeana,kwa tendo moja kawaida ni 10,000/,kinyume na maumbile ni 15,000/ "round moja",na kwa wale wanaume wasiopenda kutumia mipira (Condoms) hupatiwa huduma hiyo kwa gharama ya 20,000/ round moja,pia wapo wanaotoa huduma ya kuwanyonya wanaume maumbile yao (BJ) na bei ni maelewano.

Uchunguzi nilioufanya pia nimegundua iwepo wa biashara ya mwanaume mmoja kufanya ngono na kundi la wanawake kuanzia watatu na kiendelea (Group sexing) ambapo Kila mmoja hupata ujira wake.

Biashara ya ngono katika eneo la Riverside licha ya kukosa udhibiti wa dola kwa kiasi kikubwa umechagizwa na uwepo wa nyumba nyingi za kulala wageni zenye bei nafuu (Majina ninayo),ambapo makahaba hulipia chumba kwa gharama ya 10,000-15,000/kwa siku nzima,kwa ajili ya kutoa huduma ya ngono kwa wanaume bila ukomo wa idadi ya wanaume wala muda.Makahaba wengine huchangia chumba kimoja hata wakiwa watatu,na wote wanaweza kuingia na wanaume na kufanya ngono kwa pamoja kwenye kitanda kimoja.

Kwa mujibu wa wadada wanaojiuza katika eneo la Riverside,dada mmoja anaweza kufanya na ngono ni wanaume kumi kwa siku au zaidi,ila si chini ya kumi,"Muda mwingine biashara inachangamka unapata hata wanaume 30 kwa usiku mmoja" aliniambia dada mmoja anaefanya ukahaba katika eneo hilo mwaka wa tano sasa,kijiwe chake kikiwa kwenye kituo cha mafuta cha GBP Riverside.

"Wengi wa Hawa Malaya ni watoto wa chuo,wanatoka hapo Mabibo hostel",aliniambia dereva mmoja wa bajaji anaeegesha bajaji yake eneo la bar ya Zambezi jirani na Cassino la Cleopatra ambapo pia ndipo kilipo kijiwe kikubwa cha makahaba wengi zaidi.

Kwa mujibu wa wenyeji,askari polisi huvamia eneo hilo na kukamata baadhi ya makahaba,ila wenzao huchanga pesa na kuwatoa usiku huo huo na kisha kurejea kwenye biashara yao hiyo.
We jamaa mnoko sana si uongelee mambo ya mitume na manabii haya tuachie sisi
 
Utawabana bara barani, je mtandaoni utaweza?
Huu ni ulimwengu wa kaisari! Biashara hii haiwezi iSha kwa kutumia nguvu ya polisi!

Cha msingi wapate Tin number na leseni walipe kodi TRA na lipatikane jina la kuwatambulisha kama "Biashara ya mahaba" wao wajuliane kama watoa mahaba na wapewe maeneo maalum ya kufanya kazi!!!

Na kodi Yao iwe juu sana Ili kuikomesha Biashara husika!!

Sidhani kama Kuna Binti atajipanga Barabarani kama hajalipia leseni na kodi zaidi ya kushtakiwa kwa makosa ya ukwepaji kodi!!
 
Back
Top Bottom