Recent content by maziwa ya mgando

  1. maziwa ya mgando

    JamiiForums Tanzania JF Men & Women Of The Year 2012 Competition

    Utasutwa kama Mamndenyi bure
  2. maziwa ya mgando

    JamiiForums Tanzania JF Men & Women Of The Year 2012 Competition

    Beee, unasemaje
  3. maziwa ya mgando

    JamiiForums Tanzania Mnisameheee

    He he he, ufundi gani mtu mwenyewe kazi kukoroma tu
  4. maziwa ya mgando

    JamiiForums Tanzania Mnisameheee

    Bishanga kajinyongea kamba Pale kwenye mbuyu wa Mbuyuni
  5. maziwa ya mgando

    JamiiForums Tanzania Mwanza kwachafuka: Machinga wawili wapigwa risasi za moto!

    Jamani, kunani tena?
  6. maziwa ya mgando

    JamiiForums Tanzania Mnisameheee

    Nimewamiss, nikaona mtanisahau bure Maaskari, mnisameheee Akyanani Bishanga ndio umejinyonga miguuu
  7. maziwa ya mgando

    JamiiForums Tanzania Jf Couples (New Version)

    Update zinasemaje? Kuna mmoja nasubiri amwagike ili nimdake
  8. maziwa ya mgando

    JamiiForums Tanzania Mtaani kwetu Jei Efu...

    Unanitakia nini? Nimekuona unanisema sema wiki hii, hujui niko bize nakamuliwa Ikulu? Unataka kupoteza uraia wa jf naona.
  9. maziwa ya mgando

    JamiiForums Tanzania Natafuta demu wa kuchati naye

    mie ni deymu wa miaka 28, sikutaki maana hata umri wako huna uhakika nao. Manina source:ODM
  10. maziwa ya mgando

    JamiiForums Tanzania Inawezekana??

    pole, kama una malengo kaza buti. Nilianza kwa kuumwaga zege na kuuza duka la mtu.
  11. maziwa ya mgando

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe awaliza watu wa Kyela

    mmmmh, umaarufu unakuja na gharama!
  12. maziwa ya mgando

    JamiiForums Tanzania Maskini mwandosya mungu ampe nguvu jamani!!

    ok, sikujua kama ni wa mlengo huo. Sorry kwa kukuharibia sredi.
  13. maziwa ya mgando

    JamiiForums Tanzania Maskini mwandosya mungu ampe nguvu jamani!!

    hope uko sincere. maana Mungu, Yesu na Bwana umeandika kwa herufi ndogo.
  14. maziwa ya mgando

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha kama kweli kuna wanaoipenda CCM toka moyoni....!

    wacha watu washabikie chama wanachotaka, uhuru wa kuchagua itkadi ya kisiasa ni sawa na kuabudu, kila mtu ana lake.
  15. maziwa ya mgando

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Gachuma, Airo watumika kushawishi wapiga kura Kirumba; Mrisho Ngassa atumika kwa kura

    katika vita hata kama ni katoto kachanga, kama hujawapi kukapiga, tumia sila zako zote kukapiga. Unaweza ukaumbuliwa. Wache watumie silaha zao zote kama ni kwa uhalali.
Back
Top Bottom