Jf Couples (New Version)

Jf Couples (New Version)

Eeeh bana eehh.....
napenda kuchukua fursa hii kutambua uwepo wa pea ziliopo humu ndani.....
kutokana na uzi huu........
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/55860-couples-za-jf-ni-hizi.html....naona wengi wapo chali.....nikimaanaisha wameachwa/acha...fumania/fumaniwa na hata wengine ni wajane...

Well.....sio ishu....hebu tucheck hii...

1. Husninyo + Judgement (baada ya Uporoto kupigwa chini)....
2. Cantalisia + Rejao (hii ni baada ya kumkwapulia Smile).....
3. Taijike + Excellent (wapya hawa).....
4. Erickb52 + Amyner (kama #3)......
5. Mwali + Ivuga (japo Ivuga kamkimbia Mwali).....
6. RussianRoulette + Paw (mmmh)....
7. Preta + Mtu Chake (japo TANMO anataka kuvuruga)......
8. Sweetlady + Nitonye (ila Sweetlady anataka kuvunja ukwimya samweya)
9. Kaizer + AshaDii
10.
11.
Nani nimemuacha......
Mi napita tu hapa, nimesahau miwani yangu home leo so hata kusoma siwezi kabisaaaa
 
kumbe demu wangu anachukuliwa na njemba nyingine. nami ngoja ntafute mpya. mia
 
Ahahhaaa CUTE nimekuachia saiv nin platozoom kama ni hiko kizygot usiwe na wasi ntakueleta ulee
 
Last edited by a moderator:
wow sikujua kama Jf kuna couples.... wadau itabidi na mimi nijitwalie
 
Duh, ina maana tayari wote wako paired? Cmpati hata wa muda mfupi jaman nisaidien? Niko alone aisee!
 
njoo kwangu, kwa muda
akija mwenyewe nakumwaga

teh teh teh ngoja nijitutumue nijarib bahat yangu, hii kuwa singo ni noma bhana! Golden chance neva kam twice! Hii temporary bond inaweza kuzaa pamanent life bond, unaweza pga chn huyo wa1 ukinogewa nami. Karib bibie!
 
Ngoja nikupe list yangu

Kuna makubwa ya maadui mawili

Afu kuna Asprin, Bishanga, Mtoboasiri, hawa hata bahati ihamie tandahimba nitakwenda nao

teh teh teh ngoja nijitutumue nijarib bahat yangu, hii kuwa singo ni noma bhana! Golden chance neva kam twice! Hii temporary bond inaweza kuzaa pamanent life bond, unaweza pga chn huyo wa1 ukinogewa nami. Karib bibie!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom