Wanaojiengua huwa hawana mafujo,jazba na makelele...Ni maji tu ndo yametenganisha,vinginevyo Zbar ingekuwa moja ya wilaya kama ilivyo Temeke,K'ndoni n.k
Binafsi niko kwenye mahusiano na mara nimkoseapo mwenzangu huwa nakiri na kuomba toba bila shuruti.
Tofauti na nitegemeavyo,mwenzangu hunifanyia makusudi kisa nimekiri basi huwa inakuwa sababu ya kila jambo ufanyalo tofauti na matakwa yake kukusema siku nzima.Siku hizi,nakiri ila namkazia ili...
Hongera kwa kuchukua hatua.
Hatua mliyoichukua CDM ni kwamba mna nafasi ya kudumisha imani kwa wanachama wenu au kupoteza wao,kuwapotezea muelekeo na imani yao kwenu.
Wavurugaji wawajibishwe ikiwa na kuwavua madaraka yao yanayowapa keherehere...thank you and Marry Christmas CDM-people's power!
JK anawaza safari tu,wapi aende,wapi akatambe,hana muda wa kuwajibika wala kuwajibisha mtu...ni mtu wa "mtajiju" flani ivi,so akili kumkinga!
Pole kwa wafiwa wote,Mungu amlaze mahali pema peponi,Amina!!!!!!!
Hawaumizi kichwa,isipokuwa tunakerwa na kelele za muungano kila siku wakati binafsi sioni faida yake.
Biashara za wapemba hazina shida,ila haitakuwa rahisi kama wafanyavyo sasa.
Mbona ipo mitaa ya wasukuma,wachaga na wengine?pita sokoni utakukuta mitaa imejaa wachaga.Nenda kwenye minada ya...
Tuuvunje muungano kwa sasa na iwapo mmoja kati ya Tanganyika au zanzibar atauhitaji basi atume maombi ya kutaka muungano na hapo masharti na vigezo viwekwe.
Hawa wapemba,wa unguja warudi kwao,bakhresa arudi kwao pia...watajitokeza matajiri wazawa-isiwe mafisadi kama walivyoibuka kipindi cha...
Ipo siku watu watatafunwa nyama zao mchana kweupe wakiwa hai kwa upumbaf wa CCM inaoulazimisha.Nimeishi na kukulia Tbr mjini,watu hawaipendi CCM-sema maisha yao duni,ujinga na ufukara hutumiwa na CCM kama kigezo cha kuwadanganya wakati wa uchaguzi-wenyeji wa tbr wengi elimu finyu.Sidhani kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.