Kiukweli nilikua sijawahi kusuhudia mwanamke akilazimisha ngono kama huyu.
"
Huyu dada alitongozwa na jamaa yangu ambae ni fundi wa viatu,huyu jamaa ana kazi nyingi sana,sasa huyu dada baada ya kumkubali huyu jamaa yangu wakawa wanaahidiana lakini jamaa anashindwa kutokea kwa sababu ya ubusy.
"
Mdada akawa anavumilia mpaka akawa anamfuata jamaa kazini na kumuuliza kama alikua anamtania alipomtongoza,jamaa akawa anajitetea kazi.Jana ilikua ni ahadi nyingine lakini jamaa hakutokea na dada kwa hasira alimtumia jamaa sms hii;
"
"KAA NA HIYO KITU YAKO WE SI UMEIONA MALI BWANA KM VP POA AU SIO.
"
Kisha baadae jamaa alimpigia simu dada huyo hakupokea baadae alituma sms iliyosema hivi;
"
"UKITAKA TUELEWANE NIPE HIYO KITU".
"
Nilijua ni wanaume tu,kumbe na wadada nao unaweza kugombana nao kwa kuwazungushaeeeeh.
"
Sikujua au ndo haki sawa?
"
What man can do,a woman can do!!!!!