Recent content by mayumbo

  1. M

    JamiiForums Tanzania ACACIA: Tumeshapunguza wafanyakazi 1200 na Wakandarasi 800 ili kupunguza gharama za uzalishaji

    Hivi si walisema makinikia hayana hela ya msingi, inakuwaje wapate hasara yooote hiyo kwa mchanga tuuu??. Nisaidieni waungwana kwani mm ni mjinga wa eneo hili Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta na sifa za kijinga kutoka UKAWA

    Kama wana ufahamu mzuri hawawezi kuja na kutetea hili la Kenyatta Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

    Tunachohitaji ni kuona mchezaji mwenye kuleta matokeo. Najua Messi anaujua mpira hilo halina ubishi lakini, kaleta mafanikio ya mataji kwa muda huu tunaoongea na hata kwa timu ya taifa lake ameletachango mkubwa?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Updates za mechi ya simba na African Lyon

    Jamani
  5. M

    JamiiForums Tanzania Updates za mechi ya simba na African Lyon

    Tunaomba updates tusiokuwa hewani jamanu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe zaidi ya 5000 wafa Shinyanga kwa ukame

    Jamani mm nimefanya kazi kanda ya ziwa. Wasukuma hawaendani na miti, wamekata miti mkoa wa Shinyanga hadi ajabu na wilaya ya Kishapu ni kama jangwa. Kwa hali hiyo lazima wakutwe na majanga hasa kama wafugaji na wakulima wenyewe hawatabadilika. Na kwao ng'ombe ndio utajiri, hata iweje hawauzi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watu kama Mkuu wa Mkoa huyu ni hatari sana ukiwa unafanya nao kazi. Hawaoni hasara kukuharibia

    Hebu watanzania tutumie muda kuweka wazi na mazuri wafanyayo viongozi. Mnatufunza nn tusiojua kuhusu nchi yetu. Kila siku ninyi ni kuweka mabaya tuu!!!!. Badilikeni mtupe na mazuri ili tujifunze kuwa watanzania wema
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu bei halisi ya matrekta

    Umenena samalanga Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu bei halisi ya matrekta

    Hapo Mwanza umeenda duka la sehemu gani? Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu bei halisi ya matrekta

    Habari. Nina taarifa kidogo. Kwanza inabidi ujue unahitaji trekta lenye uwezo gani yaani horse power na unataka brand new au used. Kwani bei inatofautiana kutokana na upya au imetumika, capacity , where is it made, brand na payment mode. John Deere wana payment arrangements ya kulipa 50% at the...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Mwanza

    Nashukuru nimeshakiuza waungwana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Mwanza

    Nashukuru nine shakily za waungwana
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali la weekend kwa wanafamilia...

    Hakuna familia ya baba na mke
  14. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Mwanza

    Tatuzo nakosa muda wa kwenda kupiga picha kwani naingia kazini asubuhi na mida hii ndo natoka. Labda hadi Jumamosi ndo naweza kwenda kupiga picha
  15. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Mwanza

    Picha mpaka kesho nitatuma jioni kwani sijapiga na mm niko nyegezi halafu asubuhi mpaka jioni nakuwa kibaruani. Kesho tukijaaliwa
Back
Top Bottom