GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Ukimwangalia mkuu wa mkoa wa dodoma bwana jordan rugimbana jinsi anavyojichekesha na kuinama kwa woga unagundua ni aina ya wale watu ambao ni wazuri sana kwa kujipendekeza kwa wakubwa.
Muone alivyomshikiria dr magufuli kwa mikono yote miwili yaani hapo kidogo tu angepiga na magoti. Ukiangalia juu juu unaweza sema ana heshima sana kwa rais. Hapana.ni unafiki na kujikomba.hapo chochote atakachosema rais yeye atacheka tu na kuitikia. Hawa ni watu ambao huwa wanaish kwa hewala bwana...
Kama ni heshima nenda kaombe kazi au kafanyiwe interview na watu wenye akili zao halafu uwe unacheka cheka unainama hivi ili wakuone una heshima wakupe kazi. Haya utayaona sana nchi za afrika.nchi za watu huko huyaoni.ni sisi tu binadamu tunafanya hivi.
HILI NI TATIZO KUBWA SANA. MSILIANGALIE KWA MACHO MEPESI.