Plot4Sale Nauza kiwanja Mwanza

mayumbo

Member
Oct 5, 2014
60
21
Nauza kiwanja jijini Mwanza kipo maeneo ya Nyamhongoro majengo mapya. Kina eneo la 487 za mraba kiko prime area. Bei ni shilingi 10/=mil. Kina documents zote. Kwa mawasiliano piga 0784933374
 
Picha mpaka kesho nitatuma jioni kwani sijapiga na mm niko nyegezi halafu asubuhi mpaka jioni nakuwa kibaruani. Kesho tukijaaliwa
 
Karibu kwenye ofisi zetu za one2onefocus limited Buzuruga Plaza tufanye biashara we can sale on behalf of our clients
 
Tatuzo nakosa muda wa kwenda kupiga picha kwani naingia kazini asubuhi na mida hii ndo natoka. Labda hadi Jumamosi ndo naweza kwenda kupiga picha
 
ONE 2 ONE FOCUS.CO LTD ni Kampuni ya Kizalendo ,iliyosajiliwa na BRELA kwa Hati Namba ya Usajili 127281 na TIN Namba :
131-202-040.

Kampuni inajishughulisha na:
1.Ujenzi wa Majengo Mbalimbali.
2.Upimaji wa Viwanja
3.Utengenezaji wa Ramani.
4.Uuzaji wa Viwanja.

Kwa Ujenzi wa Nyumba Tunakujengea na Kufanya Finishing Kuanzia Hatua ya Awali Mpaka Mwisho wa Ujenzi.

Pia Katika Ujenzi Huo Tunakuwekea:-
1.Uwiano Mzuri wa Cements
2.Nondo za mm 12 ,mm 16 na mm 24 za Chuma Kulingana na Aina ya Ujenzi.
3.Mbao imara i.e Mikaratus,Saiprus
4.Mabati imara Kutoka Nje ya Nchi
5.Tiles Daraja la Kwanza.
6.Tunaweka Gypsum
7.Tunaweka Fremu,Milango
8.Milango ya Mbele na Nyuma Kuwekewa Grill.
9.Tunaweka Fitting za Makabati,Mifumo ya Maji,Makabati ya Jioni.
10.Wiring ya Umeme.

Tupigie kwa:-
0763772636 WhatsApp
0789047874 call

Petty Marcel
SALES REP
ONE2ONE FOCUS
MAKUMBUSHO COMPLEX
DAR-ES-SALAAM

Pia Tuna Ofisi Jiji la Mwanza
BUZURUGA COMPLEX
MWANZA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom