Recent content by mayonce

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa taarabu mpo wapi ?

    dah! Umejuaje unanigusa mbaya
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ngumu jamani

    huyo rafiki yako kuna mtu anampa jeuri cyo bure.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa taarabu mpo wapi ?

    kuna wimbo mja unaitwa asuu aisee nikiuckia tu ht km nilikuwa chooni natoka asuu roho ingekuwa nguo ninge kuazima uwe nayo hadi milele we acha kabisa utalewa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa taarabu mpo wapi ?

    kumbe mpoo eeh! Naona mambo yenu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa taarabu mpo wapi ?

    umeona eeh km khadija kopa anakwambia top in town
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa taarabu mpo wapi ?

    Wakuu mpo? jamani mbona sijawahi ona post zinazo husu taarabu au wapenzi wataarabu humu hawapo?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Picha za mshiriki wa BBA SEASON 9 Idris Sultan utampenda tu, very charming boy

    dah! Nimeimic mbezi mpaka basi kwa cc tuliomaliza 2009 o level mic sir nzota saana pamoja na msuya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha za mshiriki wa BBA SEASON 9 Idris Sultan utampenda tu, very charming boy

    sory elimu yako ya high school ulimalizia mbezi hogh school
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Kisu chenye mpini mwekundu

    mbona kimya
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Dokii ampa askari rushwa ya busu

    hii ni shiiiiiiiiida ya ustaa bora kapuku miye nicye jurikana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vimini vyamzuia Dida kufanya kazi Ikulu

    mpaka hapo mmsha mzungumzia
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameshakula hela yake nyingi, afanyeje aachane naye?

    mh! Jamani inawezekana kweli mtu ule pesa ya watu bila kumpa papuchi?
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kimarangu ni hatari

    ngoja waje wenyewe hapa uone moto wake
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina mapenzi naye tena, ushauri wenu tafadhali

    jamani umesema alikuwa anakufanyia lkn bdo uliendelea kuwa naye nasasa anaonyesha mapenzi ya kweli ww upendo umepungua ni bora uwe muazi kwake mapema kuliko kuja kumtesa baadaye
Back
Top Bottom