Wapenzi wa taarabu mpo wapi ?

Wapenzi wa taarabu mpo wapi ?

sina mda huo sina :*2
wa kukaa kibarAzani nimsemange mtu
nna hamsini zanguu
zinanipelekA mbiooooo
ngoja napika shosti ntarudi

Hhhhhhhhaaaa huoooo huo naupenda na ule mi..si mke mwenziooo
 
sina mda huo sina :*2
wa kukaa kibarAzani nimsemange mtu
nna hamsini zanguu
zinanipelekA mbiooooo
ngoja napika shosti ntarudi

Hahahaa
Aloniamuru mungu,siyamalizi kwa leo
Iweje ya walimwengu?mie sina muda huo..usinipikie majungu
Mie si mke mwenziooooo
(Dada yangu ndio mambo yake so nilijifunzia kwake)
 
Kuna watu wanawekaga hata hamjakosanagaa ukiwa uswahili ndio utakomaaa aiseee

Wengine ni chuki binafsi tu,usiombe uwe mzuri alafu huna mambo ya kiswahili...wanaumiaje?unaweza kusalimia watu hawaitiki
 
Wengine ni chuki binafsi tu,usiombe uwe mzuri alafu huna mambo ya kiswahili...wanaumiaje?unaweza kusalimia watu hawaitiki

Ni kweli hata kama una kitu umewazidi tayari ni shiider uko busy eti una ringa mi naona majority wanaowekea wenzao ni ujinga na kutokujielewa tu wajua anasikiliza wimbo kumne kamwekea mtu asiye na mda
 
Hahahaa
Aloniamuru mungu,siyamalizi kwa leo
Iweje ya walimwengu?mie sina muda huo..usinipikie majungu
Mie si mke mwenziooooo
(Dada yangu ndio mambo yake so nilijifunzia kwake)

Sina mda eee sina mdaa eee wa kupotezaaaaaa
 
Ni kweli hata kama una kitu umewazidi tayari ni shiider uko busy eti una ringa mi naona majority wanaowekea wenzao ni ujinga na kutokujielewa tu wajua anasikiliza wimbo kumne kamwekea mtu asiye na mda

Acha nijimwage miee na mpenzi wangu jamanii acha nijimwage mie na mpenzi wangu jamaniii
Baridi baridi inanishikaa aiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Wengine ni chuki binafsi tu,usiombe uwe mzuri alafu huna mambo ya kiswahili...wanaumiaje?unaweza kusalimia watu hawaitiki

Yapi halaf uwe na mpenzi au mume yupoo juu lazima utafutiwr sababuu,
 
namwomba maulanaa anifungulie njiaaa aaaa menikumbusha mbali sana na huo wimbo
daaaaaa
 
Yapi halaf uwe na mpenzi au mume yupoo juu lazima utafutiwr sababuu,

Utakoma nakuambia...saa kama hizi wameshajipaka make up zao kama majini na madira yao wanaenda shughulini...sijui hawanaga kazi jamani!!!
 
sina mda huo sina :*2
wa kukaa kibarAzani nimsemange mtu
nna hamsini zanguu
zinanipelekA mbiooooo
ngoja napika shosti ntarudi

ila mi wa isha mashauzi ule wa mama kaimba mwenyewe unanigusa sana najisikia nampenda mama angu mara 100
 
Mtu wa pwani lazima apende taarab mkurya na taarabu wapi kama unampigia mbuzi kitaa hahahh
 
Jamani naupenda ule wimbo wa Omar kopa Nadekezwa na wa Znz one Nidhibiti.. Unanigusa ndipo...
 
Jamani naupenda ule wimbo wa Omar kopa Nadekezwa na wa Znz one Nidhibiti.. Unanigusa ndipo...

Shosti mie Nidhibiti ukipigwa sikai kwenye kiti ivoo! Yani pale anapo sema mitishamba wamalize halafu wa wa weweseka ndio aaaaaaaah Raha tupu....
 
Jamani naupenda ule wimbo wa Omar kopa Nadekezwa na wa Znz one Nidhibiti.. Unanigusa ndipo...

Asante, nilisahau jina la hiyo taarab....
Naipenda sana....halafu kaimba Ahmed Mgeni (RIP)

"Wamemfata fata wengi bali wote kawatosa
Wenye uzuri na rangi kakataa zao ofa
Kaniona mimi King kanifungulia kurasa
Na mimi nilivyo mwingi amenipa sijasusaa

Alitakalo sipingi ndo ninae hadi sasa
Ananipa sifa nyingi hatoweza kunitosa....."

cc; My Docta
 
Shosti mie Nidhibiti ukipigwa sikai kwenye kiti ivoo! Yani pale anapo sema mitishamba wamalize halafu wa wa weweseka ndio aaaaaaaah Raha tupu....

Basi burudika kidogoooo

"Ametangaza bayana anataka tupendane
Dunia ijue sana tunapendana waone...
Mkome mnaonena hazizidi siku nne
Siku hazigandi bwana
Huu mziki mnenee....

Penzi lazidi kufana tunalicheza sebene
Katu hatutoachana mambo yetu benebene..
Nimemdhibiti kimwana tuachane turambane...
Mbona mtaumwa sana mafisadi na waumweee...."

cc; My Doct...
 
Mtu wa pwani lazima apende taarab mkurya na taarabu wapi kama unampigia mbuzi kitaa hahahh

Tenaaaaaa.....Watuwache na muziki wetu!!

Tatizo wao wanajua hizi rusha roho ndo wanaona wanajua taarabu.....Mtu hamjui Juma Baro, Malisa, Sabaha halafu anajishaua kuzijua sana na kuziponda...mxiuuuu....!
 
Back
Top Bottom