Wapenzi wa taarabu mpo wapi ?

Wapenzi wa taarabu mpo wapi ?

kumbe mpoo eeh! Naona mambo yenu

Yote tisa me nikiisikia hii yani mwili unanisisimkaaa....

" Nipe nikupe ndo mtindo wa
maana
Nipe nikupe mapenzi, mapenzi
yakiungwa
Nipe nikupe baby, nipe nikupe
dear
Kupeana raha sana

Kwa mwengine kwa mwengine
siyapati
Mahaba mahaba yako mwanana
Nipe bila nipe bila tashtiti, wacha
kuyabana bana
Unibebe unibebe kitikiti,
wapasuke wapasuke walonuna

Nipe nikupe kupeana ni dhamana
Nipe nikupe vya siri, vya siri na vya
bayana
Nipe nikupe baby, nipe nikupe dear
Kupeana raha saaaana, Kupeana
raha sana...."

cc; my Doct
 
ila mi wa isha mashauzi ule wa mama kaimba mwenyewe unanigusa sana najisikia nampenda mama angu mara 100

ule wimbo acha
nakupenda sana mama
wewe ndo mlinzi wangu
mama mwenye huruma
ubarikiwe nA mungu
Akupe uzima kwenye huu ulimwengu
naibeba dhima .ntAkutunzA mama yangu
 
ule wimbo acha
nakupenda sana mama
wewe ndo mlinzi wangu
mama mwenye huruma
ubarikiwe nA mungu
Akupe uzima kwenye huu ulimwengu
naibeba dhima .ntAkutunzA mama yangu

hivyohivyo nimeusikiliza sana usiku,aisee nimemkumbuka sana my mom.
 
ni mengi sana mpenzi yalonijaa moyoni,
tabu na nyingi simanzi kila kitu sitamani,
juu yako ewe azizi hebu mlaani shetani,
njoo mpenzi wangu rudisha yako wachochea moto ukija kuwaka mzimaji nani?
 
Wekeni japo link ya kudownload audio ama hata youtube tujionee.
 
hivyohivyo nimeusikiliza sana usiku,aisee nimemkumbuka sana my mom.

sote tumezaliwa hakuna aso mama
tofAuti ni ukiwA na alojaliwa neemA
Pia ulijiwekea ukose wewe nile mie
hapo sana nashangaa lipi jema nifidiee
 
sote tumezaliwa hakuna aso mama
tofAuti ni ukiwA na alojaliwa neemA
Pia ulijiwekea ukose wewe nile mie
hapo sana nashangaa lipi jema nifidiee

Nakupenda sana mama
Wewe ndo uzima wangu
Mama mwenye huruma
Ubarikiwe na Mungu
Akupe uzima
Kwenye huu ulimwengu...
Naibeba dhima ntakutunza maaama yanguuuu.....!
 
kuna wimbo mja unaitwa asuu aisee nikiuckia tu ht km nilikuwa chooni natoka
asuu roho ingekuwa nguo ninge kuazima uwe nayo hadi milele
we acha kabisa utalewa
 
kuna wimbo mja unaitwa asuu aisee nikiuckia tu ht km nilikuwa chooni natoka
asuu roho ingekuwa nguo ninge kuazima uwe nayo hadi milele
we acha kabisa utalewa

mmmhh nahisi unakulewesha kimahabamahaba.hongera.
 
kuna wimbo mja unaitwa asuu aisee nikiuckia tu ht km nilikuwa chooni natoka
asuu roho ingekuwa nguo ninge kuazima uwe nayo hadi milele
we acha kabisa utalewa

kaimba abdul misambano
babloom enzi hizo
nihurumie asu wangu
iwapo nilikukosea
haikua dhamiri yangu
na wala sikutegemea
 
Asante, nilisahau jina la hiyo taarab....
Naipenda sana....halafu kaimba Ahmed Mgeni (RIP)

"Wamemfata fata wengi bali wote kawatosa
Wenye uzuri na rangi kakataa zao ofa
Kaniona mimi King kanifungulia kurasa
Na mimi nilivyo mwingi amenipa sijasusaa

Alitakalo sipingi ndo ninae hadi sasa
Ananipa sifa nyingi hatoweza kunitosa....."

cc; My Docta

Maneno kuntu👌
 
Back
Top Bottom