hamna jipya hapo zaidi ya kumpa mbaba wa watu mgegedo then aingie rasmi team mchepo!
I think 26 au zaidi kidgana miaka mingapi huyo shosti wako?
Mhmm Mbaba hajaask for mgegedo anataka kwanza ambinafsishe
Ngoja kidogo nitarudi, natafuta dikshenari ya vitenzi vikurupushi...
Mwambie amueleze mume wake ampe hela amrejeshee mbaba wa watu.
ungekuwa wewe ungeweza kufanya hivyo??Muambie amtambulishe kwa mumewe, wapige kura za maoni
Hivi kama humtaki MTU kwanini ule vyake?????
BIG like
mkuu
Hapo my instincts zinaniambia huyo mbaba ameshajilia sana sema anataka kwenda extra mile kwa kumuharibia kabisa ndoa ya huyo mdada