Recent content by maya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Niko Arusha, nataka kwenda Pemba Msumbiji. Kwa basi nafikaje na gharama inakuwaje. Pia kwa ndege gharama zake zikoje na naondokea wapi. Msaada tafadhali kwa mwenye kufahamu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanangu kaokota iPhone 5s

    Mimi nahisi km mleta uzi ana la zaidi analotafuta. Au anataka kujua mbinu za kufungua iPhone ya mpz achungulie kwa maana hizo simu za kufungwa na finger print ni kiboko ya wapekuzi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

    Mimi naamini siku zote kuwa kibaya chajitembeza na chema chajiuza. Viwekwe tu sokoni km bidhaa nyingine km kweli wana hakika na bidhaa zao.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pray for my dady

    Pole sana Pdiddy, tunaomba.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia:Kufiwa kusikie kwenye Radio tu

    poleni sana wafiwa na Mungu awatie nguvu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

    Dk 45 lzm uwe unapanda punda jmn!! Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sina raha

    hivi huyo rafiki yako yeye hana mwanaume? tabu ni haya magonjwa tu yaliyoonea mdada. walie timing hao mpk uwabambe kisawa sawa.peleleza nyendo zao,mwizi lzm ashikwe na alichoiba. wote wawili ni shameless viumbe.na uwe unamtia wivu mume kwamba huyo hawara yake kapata buzi,wakati mwingine mwambie...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dowans: Another Richmond in making?

    dowans hawawezi kutimuliwa kwani pesa wanazoendelea kulipwa na tanesco,ndio hizo wanazotupiga nazo changa la macho eti kuna pesa zinarudishwa na mafisadi,wakati ndio hizo hizo.mbona basi kigugumizi kuwasema hao wanaozirudisha huko BOT!!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    The virtue of true love is not finding the perfect person but loving the imperfect person perfectly.(Unknown)
  10. M

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Personality can open doors,but only character can keep them open (Elmer G.Letterman)
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mama Anna Malecela Nae Tumchunguze!

    mtimti,tafadhali nenda kwenye mipasho km una beef na mama kilango hapa si maala pake.kwani unalotupasha hapa halina uhusiano wa aina yoyote na yale ambayo mama kilango kayasema bungeni.akili tunazo na tunaweza kabisa kupima na kujua km ni mbege ama la.sasa wewe mtimti peleka hii hoja yako...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa: waandamana kupinga ujio waBUSH

    kichaka yeye kasema tu anataka kuja tz kuangalia buzwagi yake,na bongozi na ikulu yao wameona bonge la ujiko.
  13. M

    JamiiForums Tanzania “Wafadhili wa Kimataifa = Mafisadi Wakubwa”:: Kuliko Mafisadi waliondani ya nchi ..

    mimi nina shaka pia rais wetu nae ni fisadi.yote hayo ya richmond,bot nk anayajua vizuri na yeye ni mshirika.lkn bwana wadanganyika wanaendelea kufanyiwa usanii na tunampa sifa kibao jk.yaani kashindwa kabisa kuwalaani mafisadi!!! tumekwisha.km serikali yake imeoza kiasi hicho na yeye pia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania JKT kurejeshwa, wazo zuri au limepitwa na wakati?

    Asante Mtanzania,mwana OKOA mwenzangu. Mimi nilikuwa RUVU na MGULANI.
Back
Top Bottom