Msaada: Mwanangu kaokota iPhone 5s

Msaada: Mwanangu kaokota iPhone 5s

mimi nina ipad2 niliokota ubungo chini ya daraja ila iko in lost mode naogopa kumpigia owner nisije kupewa kesi
 
Kaa nayo iache on
Asipokupigia basi utasikia hodi mlangoni anaulizia simu yake
Atakuwa ameweka find my iPhone tu
Ww huwezi kuitumia zaidi ukiingiza sana code itafuta data zake lakini haitafunguka
 
Iripoti polisi la sivyo iweke tu barabarani waiokote wengine kwani usije ukaandikiwa kesi ya mauaji kama wezi waliiba mahali na wakaua wakaona watakamatwa wakaitupa. Ukichelewa karibia polisi wafike kwako.
 
Mtoto wa miaka 5 anasoma tuition ya nini.sasa jamani?hizi kamba zingine muwe mnangalia jinsi ya kutupiga ujue..
 
Mtoto wa miaka 5 anasoma tuition ya nini.sasa jamani?hizi kamba zingine muwe mnangalia jinsi ya kutupiga ujue..

Natoka nyumbani asubuhi,narudi SAA moja, sina msichana wa kazi, nikaamua kumpeleka day care, anarudi SAA kumi na kwakuwa nyumbani hakuna MTU nikamtaftia tution ili akitoka shule apitilize huko
Bt simlazimishi MTU kukubaliana nami
 
Mimi nahisi km mleta uzi ana la zaidi analotafuta. Au anataka kujua mbinu za kufungua iPhone ya mpz achungulie kwa maana hizo simu za kufungwa na finger print ni kiboko ya wapekuzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom