Recent content by MaxMase

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Ushauri mzuri sana utt pesa yako haipotei na kila siku wanakuwekea faida yako Wana mobile app yao. Muda wowote unatoa siku 3 tu unachukuwa mzigo wako wote. Ni sehemu sahihi kuliko bank especially mfuko wa liquid
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

    Kwani wewe unategemea lisipite??
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi si pesa

    Jifunze pia kiswahili ni uhakika na siyo uwakika
  4. M

    JamiiForums Tanzania House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

    Tengeneza group la whatsapp au telegram watu wengi wako humo. Jamii Forums ni nzuri pia ila siyo wengi wanasoma vitu vya huku. Tengeneza then uweke link mtu akitaka ajiunge
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huwezi amini huyu ni mtoto wa kiume

    Wa nchi gani huyu??
  6. M

    JamiiForums Tanzania Simba ilishawahi kucheza Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika

    Walishiriki ile kombe ya mnajeria wao wanasema la caf ukiwa uliza ni lipi hawatoi majibu ya kueleweka
  7. M

    JamiiForums Tanzania Simba ilishawahi kucheza Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika

    Kombe lipi hilo??
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kununua hisa NMB au CRDB

    Weka pesa yako UTT huko kwenye hisa za mabenki inaweza potea
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ninauza shamba zuri la umwagiliaji ekari 20 Londoto - Simanjiro

    Acha aje atwambie sababu maji yanapatikana kwa kusomba na punda kilometers kibao
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Hii nchi wajinga ni wengi sana, mtu akiamka analinganisha miji mara hotel, hivyo vitu vinakusaidia kwenye maisha yako?? Kwa mfano watu wote wakikubali dodoma ni kubwa kuliko then what? Hiyo itakusaidia nini kwenye maisha yako?? Kuwa unaleta kwenye jukwaa vitu vyenye subsistence na siyo huu uhalo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

    Team hazijafika uwanjani siyo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa akili zangu Leo naamua Kujiunga na kalynda

    Acha waliwe na wachina wavimba macho
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vita ya Clatous Chota Chama Vs Pablo mmoja kuondoka SIMBA

    Chama mpira ulisha Isha. Match zote siku hizi anapuyanga tu. Jiandaeni na Azam, kagera, Geita, mtibwa, mbeya city wako mbele yenu
Back
Top Bottom