Hela za masela zimekua za moto,ukijichanganya unatendwa vibaya
Wanataka za bure 😆😆No free lunch , you will payback in an unexpected way.
Hela za masela zimekua za moto,ukijichanganya unatendwa vibaya
Wanataka za bure 😆😆No free lunch , you will payback in an unexpected way.
Miye ukila Hela yangu lazima Yako ifuke moshiMimi sijui kama kipo halisi cha kupendwa ni kupewa pesa siamini katika ilo ila najua mwanaume akitaka kukupata yupo radhi kutumia pesa zake ili akupate na akutumie na akuache naamini katika ilo
Akale za baba yake mzaziWanataka za bure 😆😆
Jifunze pia kiswahili ni uhakika na siyo uwakikaMimi sijui kama kipo halisi cha kupendwa ni kupewa pesa siamini katika ilo ila najua mwanaume akitaka kukupata yupo radhi kutumia pesa zake ili akupate na akutumie na akuache naamini katika ilo
😂😂 No pain, no gainMiye ukila Hela yangu lazima Yako ifuke moshi
Hawa ndio ukiomba namba tu anasema gesi imeisha, kodi, nkAkale za baba yake mzazi
In privateW
here
Nunu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndivyo ilivyo.
Mambo ni 50/50
Ndio tujue nunu pekee haitoshi kukeep mahusiano. Vivyo kwao pesa pekee hazitoshi.
Uwakika ni nini?Mimi sijui kama kipo halisi cha kupendwa ni kupewa pesa siamini katika ilo ila najua mwanaume akitaka kukupata yupo radhi kutumia pesa zake ili akupate na akutumie na akuache naamini katika ilo
Walimu wanakazi Sana Sasa hicho ni kiswahili PATA picha physics inakuwaje!?Mwanzoni alifikiri kuwa vizawadizawadi vitafanywa apendwe mwisho wa siku akagundua sio kweli
Ndo akaja kutoa ushuhuda hapa kweli "mapenzi si pesa"
𝐤𝐮𝐦𝐛𝐞 𝐟𝐢𝐠𝐨 𝐧𝐢 𝐤𝐞Pole. Usipende pesa ya mwanaume utakua salama.
𝐮𝐬𝐢𝐬𝐡𝐢𝐧𝐝𝐚𝐧𝐞 𝐧𝐚 𝐮𝐜𝐡𝐢[emoji23][emoji23] No pain, no gain