FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Full Time
90' Zinaongezwa dakika 2 za nyongeza
80' Sure Boy anapata kadi ya njano wa kucheza faulo
73’ Mayele anapiga kichwa kinaokolewa na kipa wa Geita
72’ Yanga wanapata kona ya 5, Geita wao wakiwa na kona 4
68’ Saido anaingiza krosi inazuiliwa na kuwa kona
64' Kisinda anapiga krosi nzuri, Mayele anachelewa kuimalizia
63' Mayele anaingia anatoka Makambo
60' Makambo anakosa nafasi ya wazi
55' Geita wanaendelea kujipanga taratibu
50' Timu zinashambuliana kwa zamu
Kipindi cha pili kimeanza

MAPUMZIKO

45' Morrison anaipatia Yanga bao kwa penati
GOOOOOOOOOOOOOOOO!!
Picha za marudio zinaonesha mpira ulimgonga mkononi beki wa Geita akiwa nje ya eneo 18
43' Yanga wanapata penati
40' Timu zinashambuliana kwa zamu
29' Mchezo umetawaliwa na faulo za hapa na pale
27' Yanga wanafanya shambulizi lakini hakuna mtu wa kumalizia mpira uliopita mbele ya lango
21' Kasi imepungua kwa kiasi fulani
19’ Saido anachezewa faulo, inakuwa adhabu kuelekea lango la Yanga
10' Mchezo unakasi lakini Yanga ndio wanamiliki mpira muda mwingi
8' Shambulizi lingine kali langoni mwa Geita
6' Yanga wanafanya shambulizi kali, Fei Toto anapiga shuti linapanguliwa na kipa
4' Mchezo umeanza kwa kasi ndogo
Mchezo umeanza hapa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

=========

Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Geita Gold na Yanga Sports Club utakaochezwa saa10 jioni Estadio De CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Huu ni mchezo wa namba 45 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023 bila Yanga Kupoteza Mechi.

Geita Gold akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Yanga Sports Club.
.
Karibuni Wakuu.
 
Yanga wana kibarua kigumu leo

Ni either waanzishe kikosi kamili ili kupata point 3 ambapo kwa kufanya hivyo watakuwa wame risk kupata majeruhi watakaoshindwa kucheza mechi ya Playoff

Au waanzishe kikosi cha akiba na kuwaweka wachezaji muhimu kwenye maandalizi ya game ya tarehe 2, ambapo pia kufanya hivyo ni risk sana

Kwasababu wako ugenini, pia quality ya Saidoo kwenye mechi mbili za mwisho imeonesha ni hatari plus ukiangalia mechi ya leo na Yanga ni kama ya kisasi

Dhana ya unbeaten ndio inayomuweka kwenye depression Nabi, hii mechi kushinda anataka ukicheki Simba tayari kapoteza points 3

Lakini nwmna pekee yenye kumpa matumaini ya kushinda ni kupanga kikosi kamili, lakini kila akifikiria kuhusu majeruhi plus fatigued anaona tarehe 2 hawezi kupata kile anacho kitaka
 
FB_IMG_1667047441760.jpg
 
Mkuu
Hoja nzuri ila unaishia kulikoroga mwishoni. Kiufup:
  • Mechi ya leo ni ngumu kwa yanga. Siyo kwamba mpinzani wenu ni tishio hapana.
  • Ratiba imebana sana; wachezaji siyo mashine...wanachoka sana; watasafiri kurudi Dar; mchezaji akitumika na kuchoka wanapata umajeruhi kirahisi mno.
  • Baadhi ya first eleven players wakiumia ina iletea timu ugumu kujipanga kupambana kwenye international games na hivyo performance hushuka.
  • Ni swala la mwalimu na uzoefu wake akatafuta balance ya kikosi. Hawezi kupumzisha wote.
  • Sasa ndo wakati wa timu kucheza kitimu zaidi kutoka kwenye ulinzi, kati na umaliziaji kwa kuzingatia zaidi nguvu ya mpinzani.
NB: Yanga wacheze mpira wao wa asili na unbeaten itabaki intact vinginevyo yatawakuteni ya mtani wenu.
- Enjoy football, kila la kheri na tuombe vijana watuletee kandanda safi.
 
Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Geita Gold na Yanga Sports Club utakaochezwa saa10 jioni Estadio De CCM Kirumba Jijini Mwanza.
.
Huu ni mchezo wa namba 45 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023 bila Yanga Kupoteza Mechi.
.
Geita Gold akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Yanga Sports Club
.
Karibuni Wakuu.
Hapa uko vzr sana
 
Mkuu
Hoja nzuri ila unaishia kulikoroga mwishoni. Kiufup:
  • Mechi ya leo ni ngumu kwa yanga. Siyo kwamba mpinzani wenu ni tishio hapana.
  • Ratiba imebana sana; wachezaji siyo mashine...wanachoka sana; watasafiri kurudi Dar; mchezaji akitumika na kuchoka wanapata umajeruhi kirahisi mno.
  • Baadhi ya first eleven players wakiumia ina iletea timu ugumu kujipanga kupambana kwenye international games na hivyo performance hushuka.
  • Ni swala la mwalimu na uzoefu wake akatafuta balance ya kikosi. Hawezi kupumzisha wote.
  • Sasa ndo wakati wa timu kucheza kitimu zaidi kutoka kwenye ulinzi, kati na umaliziaji kwa kuzingatia zaidi nguvu ya mpinzani.
NB: Yanga wacheze mpira wao wa asili na unbeaten itabaki intact vinginevyo yatawakuteni ya mtani wenu.
- Enjoy football, kila la kheri na tuombe vijana watuletee kandanda safi.
Lakini pia hii mechi ni faida kwa Yanga kwa ajili ya match fitness kuelekea tarehe 2.
 
Matola nilitaka niku reply kwenye post yako ila inashindikana sijui servers za JF siku hizi zikoje

Kupitia hicho kikosi ni dhahiri Nabi ameingia kwa heshima zote na bado anataka a maintain kwa kuhakikisha anafanya vizuri mechi hii na mechi ijayo awe na wachezaji ambao wote watakuwa bado wana intesity kubwa

Mayele naweza kusema amewekwa kama kiraka kusoma upepo, ikitokea Yanga wamefunga goli anaweza asiingie kabisa

Na kama ataingia basi ni dakika za mwisho kwa lengo la kuitumia mechi hii kama fitness kwasababu ana siku 6 hajacheza mechi yeyote.
 
Mkuu
Hoja nzuri ila unaishia kulikoroga mwishoni. Kiufup:
  • Mechi ya leo ni ngumu kwa yanga. Siyo kwamba mpinzani wenu ni tishio hapana.
  • Ratiba imebana sana; wachezaji siyo mashine...wanachoka sana; watasafiri kurudi Dar; mchezaji akitumika na kuchoka wanapata umajeruhi kirahisi mno.
  • Baadhi ya first eleven players wakiumia ina iletea timu ugumu kujipanga kupambana kwenye international games na hivyo performance hushuka.
  • Ni swala la mwalimu na uzoefu wake akatafuta balance ya kikosi. Hawezi kupumzisha wote.
  • Sasa ndo wakati wa timu kucheza kitimu zaidi kutoka kwenye ulinzi, kati na umaliziaji kwa kuzingatia zaidi nguvu ya mpinzani.
NB: Yanga wacheze mpira wao wa asili na unbeaten itabaki intact vinginevyo yatawakuteni ya mtani wenu.
- Enjoy football, kila la kheri na tuombe vijana watuletee kandanda safi.
Uko sahihi
 
Matola nilitaka niku reply kwenye post yako ila inashindikana sijui servers za JF siku hizi zikoje

Kupitia hicho kikosi ni dhahiri Nabi ameingia kwa heshima zote na bado anataka a maintain kwa kuhakikisha anafanya vizuri mechi hii na mechi ijayo awe na wachezaji ambao wote watakuwa bado wana intesity kubwa

Mayele naweza kusema amewekwa kama kiraka kusoma upepo, ikitokea Yanga wamefunga goli anaweza asiingie kabisa

Na kama ataingia basi ni dakika za mwisho kwa lengo la kuitumia mechi hii kama fitness kwasababu ana siku 6 hajacheza mechi yeyote.
Ndio maana bado tuna imani na Nabi na Kaze, hawa ni makocha Wawili wenye hadhi sawa ila Nabi ndio mkuu kimkataba tu.
 
Mambo ya Bongo

Ratiba ya mechi imeandika mechi itaanza saa 10 kamili, lakini dakika ya pili mchezo neio unaanza
 
Back
Top Bottom