Recent content by maumi kweupe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mlata azuiwa JKNIA kusafiri, hakuwa na kibali cha Ikulu

    Hivi kumbe hata wanasiasa ni watumishi wa umma?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Magufuli anaanza kama Kikwete Tena? Hii nayo Nguvu ya Soda...?

    Mkuu nakusupport kwa kulitambua hilo maana hata mimi nimejaribu kupima akili zetu watz naishia kukosa majibu....tatizo ninaloliona ni kukosa misingi ya elimu ya uraia...elimu ya sasa ya kukariri summary na vipoints tu bila kusoma vitabu inatufanya tunakuwa na poor na shallow arguments badala...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Magufuli anaanza kama Kikwete Tena? Hii nayo Nguvu ya Soda...?

    Kwa hiyo wale wengine waliotajwa na dr slaa hawataguswa? ila atakomaa na mbowe na lowassa tu?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nakuhamuru mh rais

    sio ivo mkuu....writing skills ina challenge sana na ukizingatia simu hizi za touch nazo zinachangia kutokana na uwepo wa prediction wakati wa kutype text...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nakuhamuru mh rais

    Hiyo ni writing error tu mkuu mbona wabongo wengi tunakikosea kiswaz hasa wakati wa kukiandika...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa Umenifurahisha Big Up

    Anapambana na ufisadi uliototolewa na chama chake a.k.a anakitumbua chama chake ambacho ndo majipu yenyewe....!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kubenea muombe radhi Makonda

    Hata kipindi anayaandika hayo alibezwa mbona....so usitumie joho la kusema aliuaminisha umma wakati huo hukuamini....cha msingi tukomae na maisha tutoke hizi mambo za mabishano mitandaoni hazitusaidii chochote...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kubenea muombe radhi Makonda

    Mbona makonda mwenyewe halalamiki kuwa anadhalilishwa?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kubenea muombe radhi Makonda

    Hilo bifu lao kalianzisha makonda mwenyewe acha wapambane tu....mmoja anatumia nguvu ya dola mwingne media....! hivo alivyo wananchi walimwona anawafaa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wa Tanzania wapo hivi?

    Culture ya kizungu na ya kibongo ni tofauti kabisa...cku zote ukimjibu tusi aliyekutukana hakuna mwenye utofauti kati ya watukananao..."all are uncivilized"
  11. M

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha migogoro

    Hi to every body....!! Katika harakati za maisha ya kila siku migogoro mingi inayotokea huwa inasababishwa na ujumbe unaopatikana kwenye hii statement.."the desire to cheat and the refusal to be cheated results into conflicts among people in the community" Tuchangie mawazo wadau na kama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tamasha la injili la X-mas, kiingilio 50,000/= Diamond Jubilee

    mkuu ibilisi hicho kiingilio ulichokianzishia topic ni kwa VIP maana hata mimi nimelisikia hilo tangazo ila wameweka viingilio vingi tu...mfano watoto 2000, kuna elfu 5, 10, 15 mpaka 20....
Back
Top Bottom