Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 4,912
- 3,991
Kati ya vitu ambavyo simwelewi dr magufuli ni kumkumbatia gavana beno ndulu unaanza na matawi huku mizizi ya ufisadi nchi ikiwa ni benki kuu nasikitika na utoroshwaji wa fedha nje ya nchi naamin kiasi kikubwa B.O.T wanahusika na kitendo hiki niombe swala hili limulikwe kwa jicho la kulia unaamka asubuhi unashanga mara pesa imeporomoka yaan kiufupi huyu zee kashindwa
Mianya ya ufisadi sakata la escrow limepitia mikononi mwake leo hii magufuli kachukua panga anakata matawi na kuacha mbuyu ukichipua upya
Rais wwtu hili swala lifanyie kazi kabla ya january 5 ili nchi yetu ineemeke na matunda ya rasilimali zilizopo