Recent content by Mauja

  1. Mauja

    JamiiForums Tanzania Mvumbuzi wa Jina la Tanzania

    Mvumbuzi huyu Nani na yuko wapi uzi umekua mfupii hauna maelezo kabisaa
  2. Mauja

    JamiiForums Tanzania Mossad wafichua mpango wa Siri wa Nyuklia wa Iran, Netanyahua aufafanua

    Kutafutia sababu tu za kuivamia Irani ila jamani nyie watu wa mashariki ya kati mbna mnakosa umoja kama mataifa ya maghrb
  3. Mauja

    JamiiForums Tanzania Lavalava umeshakuwa msanii mkubwa, hebu acha kuendesha Uber

    Kwani c ni kazi kama zengine muhimu hela ww alf7 Adi jioni kapat ngapi
  4. Mauja

    JamiiForums Tanzania I think i am in love!

    Dahh badili mbinu na usivunjike moyo bora kufa vitani kuliko kurudi nyuma pambana na moyo wako atakuelewa tu
  5. Mauja

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa mbalimbali nchini, Abass Kandoro afariki dunia Hospitali ya Taifa, Muhimbili

    Kifo hakina huruma R. I. P kandoro umetuachia jina
  6. Mauja

    JamiiForums Tanzania Yule mama aliyemsomea JPM aya 2 za Mwenyezi Mungu kutoka katika koroani.

    Sijasikia naomba audio
  7. Mauja

    JamiiForums Tanzania Mbele ya Urusi, Marekani lazima ale kona!

    Putin kiboko ya uchafu
  8. Mauja

    JamiiForums Tanzania Maneno mazuri ya kumrudisha mpenzi wako aliyekuacha

    Mpka leo hii bado unaachwa na kusononeka izo zilipendwa ayo mambo yalishaishaa ukiachwa unasepa zako
  9. Mauja

    JamiiForums Tanzania Kumsaliti mkeo haimaanishi haumpendi

    Hahaaa Ila japo sio la msingi lkn linasaidia sana kuokoa tairi zako ukaharibu ata za mwendo kasi
  10. Mauja

    JamiiForums Tanzania **Mambo makuu matano yatakayo kutoa mapovu hapa Tz**

    Hahaaa mvua inaendelea kunyesha uku kwetu na radi za hapa na pale
  11. Mauja

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wananchi 6 watekwa na watu wasio julikana Mtambwe Pemba, watatu wapatikana

    Wasiojulikana... Wanazidi kuitikisa Tanzania ya viwanda
  12. Mauja

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini hawakukemea mauaji Kibiti? Ushahidi wa barua huu hapa

    Hana kumbukumbu kule hawakumpigia kura
  13. Mauja

    JamiiForums Tanzania Hotel ya hadhi ya nyota 5

    Zanzibar kuna Essque zalu Zanzibar Valder azam luxury hotel Breezes beach resort Park Hayyat Zanzibar Residences hotel
  14. Mauja

    JamiiForums Tanzania Polisi ripoti ya uongo mnatupa, za ukweli mbona hamtupi?

    Ndio siasa
  15. Mauja

    JamiiForums Tanzania Vuga, Zanzibar: Hassan Abuutwalib 'Kiringo' afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti

    Ushahidi gani uko mahakami ambao haujakamilika
Back
Top Bottom