Kumsaliti mkeo haimaanishi haumpendi

Kumsaliti mkeo haimaanishi haumpendi

Tatizo ni kwamba kuna mtu atakuwa anaongeza milage na uchakavu wa matairi ya gari ya mke wako huku wewe ukijifariji kuwa unalitunza gari
 
Yaani wewe unahalalisha dhambi bila hata woga kidogo mkuu. Je mkeo nae akikusaliti utamwacha tuu kwa sababu atakuwa ameokoa tairi za gari kuisha haraka,?????
Mwanamke akisaliti aachwe tu kwakuwa anazidi kumaliza tairi
 
Hahaaa Ila japo sio la msingi lkn linasaidia sana kuokoa tairi zako ukaharibu ata za mwendo kasi
 
.... Daaah... Umenena vyema sana.... Hii inafaa iingie kwenye katiba mpya.
 
Back
Top Bottom