Mvumbuzi wa Jina la Tanzania

Mvumbuzi wa Jina la Tanzania

Mgeni wa Mungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
1,233
Reaction score
1,296
FB_IMG_1524844899340.jpg
Mvumbuzi wa jina la Tanzania.
 
Ungetia tena vijimaneno kidogo tuelewe zaidi
 
Ooooh... kumbe hata jina limetoka kwa ngozi nyeupe....!? Dar pia toka mzizima mpaka bandari salama...

hatari tupu
 
Mvumbuzi huyu Nani na yuko wapi uzi umekua mfupii hauna maelezo kabisaa
 
Kwani we hujui ngozi nyeusi laana tupu? hujasoma hapo kwamba babu yetu Ham aliiba like vazi la......?? Alafu babu yetu huyuhuyu ndo alimcheka baba yake Nuhu? Sasa kwa akili zako za kawaida unataraji nini hapo?
 
Kumbe ndo maana linchi lina matendo ya kishetwaini kumbe jina lilibuniwa na mwarabu
 
Back
Top Bottom