NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,974
- 1,210
huwa mnaongea/andika kama mmekatika kichwa sijui, huyo mpenzi wa nondo amehojiwa.Tuisaidie polisi ktk upelelezi, ukweli wa Nondo umepatikana sababu ya msaada wa watu, ukasaidia uchunguzi wa kisayansi.
Ben saa8 ametekwa taarifa za kwanza za wasemaji wa chama zilikuwa "Kaenda masomoni South Africa", mpaka sasa Ben ni kama hana familia wala ukoo wote kimya, kama wanaojua nini kinachoendelea. Polisi wanasema Shahidi muhimu kupigwa risasi Tundu Lissu ni Dereva wake, anajua gari lililokuwa linawafuatilia tangu viwanja vya Bunge na hata kabla ya hapo. Yamekamatwa magari 8 shahidi muhimu hapatikani na wanaoumizwa kupigwa risasi Tundu Lissu hawaoni umuhimu wa hilo, siku zinaenda. Cha ajabu ametekwa kiongozi wa chama Kinondoni akiwa na mwenzake, ameuwawa, aliyefanikiwa kutoroka mikononi mwa watesi akiwa na marehemu amefichwa, hao Polisi watawezaje kupata ushahidi wa kilichotokea.
Kuna watu wanadhani Polisini watu wanye uwezo wa kutabiri, kuwa uharifu ukitokea wana njozi za kujua lilitokeaje na nani kafanya.
common mkuu una uwezo wa kufikiri zaidi ya hapa,Nondo ni polisi tu ndio wanaoongea hatujasikia kauli yake au mwanasheria wake na wala hajafikishwa mahakamani,kwangu mimi huu ni upuuzi tu wa polisi mbina hawatuonyeshi evidences kuthibitisha hili mfano tiketi,takwimu kuhusiana na simu yake n.k,elewa ni wajibu wa polisi kulinda raia kwa hiyo raia unaporipotiwa amepotea ni wajibu wa polisi kuchunguza upoteaje wake,je its almost 2yrs now since Mr.Saanane amepotee je jeshi letu limetoa taarifa gani kwa umma kuhusu upoteaji wake?na kuhusu kupigwa risasi kwa Mh.Lisu hadi leo hakuna taarifa rasmi kutoka polisi huku muda ukipotea pamoja na ushahidi wake,je polisi waliweza kukusanya yale maganda ya risasi na kuyafanyia ballistic test?sio kazi ya dereva wa Lisu kufanya kazi ya polisi elewa dereva huyo aliondoka nchini kwa kufuata itifaki zote za uhamiaji,asingeingia Kenya kama hakuwa na exit stamp ya Tanzania pia asingeingia ubelgiji bila ya viza,kwa hiyo usifikiri wote sisi ni wajinga wa kufikiri kama wewe,ni wajibu wa polisi kisheria kutulinda sio kuwaogopa,elewa kuna nchi hapa hapa Africa unawaeleza polisi kuwa umelewa and u cant drive na watakuendesha kwenda kwako,systems inakunufaisha but one day it will change na kutunufaisha sisi wote sio wateule wachache ambao wakiugua wanapelekwa india au SA ila sisi tunafia pale Lingusenguse.Tuisaidie polisi ktk upelelezi, ukweli wa Nondo umepatikana sababu ya msaada wa watu, ukasaidia uchunguzi wa kisayansi.
Ben saa8 ametekwa taarifa za kwanza za wasemaji wa chama zilikuwa "Kaenda masomoni South Africa", mpaka sasa Ben ni kama hana familia wala ukoo wote kimya, kama wanaojua nini kinachoendelea. Polisi wanasema Shahidi muhimu kupigwa risasi Tundu Lissu ni Dereva wake, anajua gari lililokuwa linawafuatilia tangu viwanja vya Bunge na hata kabla ya hapo. Yamekamatwa magari 8 shahidi muhimu hapatikani na wanaoumizwa kupigwa risasi Tundu Lissu hawaoni umuhimu wa hilo, siku zinaenda. Cha ajabu ametekwa kiongozi wa chama Kinondoni akiwa na mwenzake, ameuwawa, aliyefanikiwa kutoroka mikononi mwa watesi akiwa na marehemu amefichwa, hao Polisi watawezaje kupata ushahidi wa kilichotokea.
Kuna watu wanadhani Polisini watu wanye uwezo wa kutabiri, kuwa uharifu ukitokea wana njozi za kujua lilitokeaje na nani kafanya.
Upelelezi unaendelea umejuaje kama hataitwa? Haya Leo wameitwa waliojidai kuitisha press conferrence nae ana zamu yakehuwa mnaongea/andika kama mmekatika kichwa sijui, huyo mpenzi wa nondo amehojiwa.
nani katoa ushahidi wa kuaminika juu ya nondo ach ujinga ama habari za mitandao kwamba walimuoa kajifunika shuka kwenye gari upumbavu mtupu
Mwambieni Mtatilo, uchunguzi wa kesi ya Nondo hauanzii Iringa, unaanzia Dar es salaam, tangu saa sita usiku alipoanza kujitoa kwenye groups za Whatapp na kutuma ujumbewa "Maisha yake yako hatarini". Kisheria ukishaona kuna mtu anahatarisha au anatishia uhai wako unatakiwa kuripoti Polisi au kwa kiongozi wa serikali ya mtaa wako. Nondo mpaka anapanda basi mpaka anafika Iringa hajaripoti kituo chochote kuwa maisha yake yako hatarini na nani anayetoa vitisho hivyo hata kudhani anaweza kumteka.
hahaahh we jinga kweli yaani usha toa ripoti alafu bado uendelee na upelelezi. yaani huna tofauti nao akili zUpelelezi unaendelea umejuaje kama hataitwa? Haya Leo wameitwa waliojidai kuitisha press conferrence nae ana zamu yake
hahahaha polisi hahahahaMwambieni Mtatilo, uchunguzi wa kesi ya Nondo hauanzii Iringa, unaanzia Dar es salaam, tangu saa sita usiku alipoanza kujitoa kwenye groups za Whatapp na kutuma ujumbewa "Maisha yake yako hatarini". Kisheria ukishaona kuna mtu anahatarisha au anatishia uhai wako unatakiwa kuripoti Polisi au kwa kiongozi wa serikali ya mtaa wako. Nondo mpaka anapanda basi mpaka anafika Iringa hajaripoti kituo chochote kuwa maisha yake yako hatarini na nani anayetoa vitisho hivyo hata kudhani anaweza kumteka.
braza ficha ujinga wako, jana mkubwa wako kasema alikuwa anaend kwa mpz wake kulikuwa na haraka gani ya kutoa ripoti na hujamuhoji huyo mpz wake.Upelelezi unaendelea umejuaje kama hataitwa? Haya Leo wameitwa waliojidai kuitisha press conferrence nae ana zamu yake
Itafika wakati wa kujua Mimi na wewe ni nani mjinga kuliko mwenzie, akili zako zina kutuma mpz wake ni mtuhumiwa, kwa Jamhuri hiyo ni shahidibraza ficha ujinga wako, jana mkubwa wako kasema alikuwa anaend kwa mpz wake kulikuwa na haraka gani ya kutoa ripoti na hujamuhoji huyo mpz wake.
Lumumba propaganda dhaifu at workTuisaidie polisi ktk upelelezi, ukweli wa Nondo umepatikana sababu ya msaada wa watu, ukasaidia uchunguzi wa kisayansi.
Ben saa8 ametekwa taarifa za kwanza za wasemaji wa chama zilikuwa "Kaenda masomoni South Africa", mpaka sasa Ben ni kama hana familia wala ukoo wote kimya, kama wanaojua nini kinachoendelea. Polisi wanasema Shahidi muhimu kupigwa risasi Tundu Lissu ni Dereva wake, anajua gari lililokuwa linawafuatilia tangu viwanja vya Bunge na hata kabla ya hapo. Yamekamatwa magari 8 shahidi muhimu hapatikani na wanaoumizwa kupigwa risasi Tundu Lissu hawaoni umuhimu wa hilo, siku zinaenda. Cha ajabu ametekwa kiongozi wa chama Kinondoni akiwa na mwenzake, ameuwawa, aliyefanikiwa kutoroka mikononi mwa watesi akiwa na marehemu amefichwa, hao Polisi watawezaje kupata ushahidi wa kilichotokea.
Kuna watu wanadhani Polisini watu wanye uwezo wa kutabiri, kuwa uharifu ukitokea wana njozi za kujua lilitokeaje na nani kafanya.
Kweli wewe kifaa cha urongo (uongo) lumumbaMwambieni Mtatilo, uchunguzi wa kesi ya Nondo hauanzii Iringa, unaanzia Dar es salaam, tangu saa sita usiku alipoanza kujitoa kwenye groups za Whatapp na kutuma ujumbewa "Maisha yake yako hatarini". Kisheria ukishaona kuna mtu anahatarisha au anatishia uhai wako unatakiwa kuripoti Polisi au kwa kiongozi wa serikali ya mtaa wako. Nondo mpaka anapanda basi mpaka anafika Iringa hajaripoti kituo chochote kuwa maisha yake yako hatarini na nani anayetoa vitisho hivyo hata kudhani anaweza kumteka.
una mtindio wewe sio bure wapi nimekwambia mpz wake ni mtuhumiwa, unakujaje na ripoti bila ya kusema kama umemuhoji huyo aliye kuwa anawasiliana nae.Itafika wakati wa kujua Mimi na wewe ni nani mjinga kuliko mwenzie, akili zako zina kutuma mpz wake ni mtuhumiwa, kwa Jamhuri hiyo ni shahidi
Unamuita mtuhumiwa kwa kosa gani alilofanya? Kuambiwa nipokee nakuja? Ndiyo maana nakwambia tutamjua mwenyewe mtindio kati yangu na were. Kwa Jamhuri hiyo ni shahidi kama viongozi walioita press conference kuwa kijana anadai anatishiwa maisha hiyo katekwauna mtindio wewe sio bure wapi nimekwambia mpz wake ni mtuhumiwa, unakujaje na ripoti bila ya kusema kama umemuhoji huyo aliye kuwa anawasiliana nae.
Nukuu: "Polisi wetu acheni ubaguzi toeni ripoti zote. msiwe mnabagua wa kuchunguza matukio yao.Hata hawa wengine ni watanzania vinginevyo hata hili tukio mtakuwa mmeliandaa toka mwanzo wake mpaka mwisho wake" Mwisho wa kunukuu
Upelelezi unaendelea umejuaje kama hataitwa? Haya Leo wameitwa waliojidai kuitisha press conferrence nae ana zamu yake
bora kule Sao hill uko alipo sasa kunatisha zaidiWe have politicians in names of police, Nondo bado katekwa