Recent content by mauakay

  1. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Clouds Tv: Mbona vipindi vyenu vingi ni kuhoji wasanii tu?

    Akili zake zimemtuma ni tv ya dar tuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Clouds Tv: Mbona vipindi vyenu vingi ni kuhoji wasanii tu?

    Sio kwa mchambo huo wa kwanguvu hivyo nimecheka mpk basi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

    Wale waarabu mmh dereva anamuuliza kondakta nikanyage ng'ombe wangapi hapa anasema 3, na anapitia watatu kweli, badala yakusubiri mifugo ipite kwanza, khaaaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

    Tahmeed imeungua jana, una swali lingine?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo hapa ni elimu au maisha ya kijima

    Wasichana wanatusaidia lkn mmh ni jangaaa, yaan mtu abajua kbs akiamka asbh kazi yake ni kuosha vyombo lkn mok kila siku iendayo kwa Mungu lzm umkumbushe duuu! Inachoshaaa Kila siku umkumbushe kusugua miguu asilale ikiwa michafu, unakuta kaoga lkn atatoka nje peku na malapa yake kayaacha...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya Usalama Jijini Dar inazidi kuzorota, Vyombo vya Usalama vinafanya kazi gani?

    Duuu hii kali, kwnn usifikirie kuziharibu zisifanye kaz vzr tena?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Juni 16, 2016: Simu feki kizaazaa

    Thubutu, tukosekane hewani useme tcra wamefanya yao
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati wa mahusiano kasema ana mtoto1, baada ya kuishi pamoja kumbe ana 3

    Hao watoto wa kaka yako nao wanaishi wapi? Sbb usikute anawalea yeye alafu wa mwenzie wako mbali wanamkera, Uselfish
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati wa mahusiano kasema ana mtoto1, baada ya kuishi pamoja kumbe ana 3

    Kumuacha sio suluhisho sbb nae tayari anawatoto wanne kwa wanawake tofauti, NAE NI TATIZO hivyo amkanye awe mkweli maisha yaendelee, wote hao ni majipu hakuna mwenye nafuu, mashine kaikubali aendelee nayo BORA HUYO MWENYE WATOTO NA ANAMPENDA, ATAHANGAIKA ATAKUTANA NA MWENYE MARADHI
  10. M

    JamiiForums Tanzania DAR: Polisi inamshikilia hawara wa mfanyakazi wa ndani akihusishwa na mauaji ya Aneth Msuya

    Kama ungesikiliza clip ya dada wa marehem aneth kuna sehem alisema kuna ndugu yake mwingine alikua ametoka nje 6a nchi akapigwa risasi lkn bahati nzr hakufariki, hivyo alikiri kuna watu wanawaandama, Mungu awasaidie tuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Usomaji bajeti ya Tanzania Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2016/2017

    Ataanza kupasha na viroba safari hii
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hellow

    Nimefurah kuwajoin,
  13. M

    JamiiForums Tanzania TANROADS huwa wanaitaje interview?

    Niliwahi kuitwa interview yao Moshi mjini, niliitwa kupitia gazeti la Mwananchi km sijakosea
Back
Top Bottom