Habari zenu wana jf.
Nikwa muda sasa nimekuwa nikiwaona wa Dada wa kazi zandani, wanapo letwa kutoka vijijini wakiwa na vituko mbalimbali. Vingine vyakuchekesha navyaku furahisha lakini piya vyaku sikitisha. Sio kwamba Mimi nime zaliwa mjini nandiyo maana nataka kuwasema hawa Dada wakazi hapana hata Mimi piya nime zaliwa hukohuko vijijini.
Lakini yote kwayote kila mtu ana ushamba wake na ujinga wake. Haijalishi ulipo zaliwa au ulipo tokea ila ujinga mwingine umezidi na ujinga huu ulio zidi yafaa tujiulize nikwanini ujinga huu uzidi kwakiasi hiki cha PHD.
Yafaa tujiulize tatizo nini jee babo kuna wenzetu wanao ishi maisha yakijima kiasi yakwamba wana shindwa kutambua mambo madogomado kwakiasi hiki au lamda Elimu yetu tunayo bahatika kuisoma ata kama nindogo kwakiasi gani jee imeshindwa kutusaidia katika mambo madogomadogo kama haya jee itatusaidia nini ??
Mambo yenyewe:
Nina uhakika watu walio wahi kuletewa hawa mabinti kutoka huko vijijini wata tia neno hapa.
1 . Unakuta binti hajui kabisa kufungua mlango wa kitasa wakawaida kabisa nahata uki muelekeza itamchukuwa muda mrefu mno paka kukuelewa hii ina maana alikuwa hajui kabisa milango ya aina hiyo. Jiulize sawa nyumbani waweza usiwe nayo kwamaisha yetu haya jee shuleni au hosipitalini??
2. Unakuta mtu hajui kabisa kuzima Taa nahata ukimuelekeza paka akuelewe nishida tupu.
3. MTU ana enda chooni nakujisaidia bilayaku funga mlango nawala hashituki. Hapa sizungumzii swaala lakuweza kuki tumia choo vizuri ila hata kujisitiri kwakufunga mlango mtu hawezi.
4. MTU hawezi kuosha vyombo vya jikoni tena vyombo vyakawaida kabisa kama sahani na vikombe.
Wala siweki hapa maswaala ya sijui TV majokofu majiko ya gesi/umeme na vinginevyo kama hivyo bali haya mambo yakawaida kabisa.
Kumbuka MTU huyu kahitimu darasa la 7 na wengine kidato cha 2 .3.4.
Kimsingi kuna vingi mno vinavyo nifanya nijiulize tatizo elimu au bado tuna ishi maisha ya kijima ?? Kwa wadau walio wahi kukutana na mabinti hawa waongezee hapa.