Kuelekea Juni 16, 2016: Simu feki kizaazaa

Kuelekea Juni 16, 2016: Simu feki kizaazaa

Mkuu pole sana, naona umeanza kulia kabla ya tukio,usijali sana simu yako utatumia kwenye radio/memo/ kupigia picha na kunasia sauti mbalimbali japo tutakumisi sana JF.
NATAKA WOZAP BHANAA
 
Simu yangu ni feki lakini itaendelea kushika network Kama kawaida
 
nimesikia hureiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nji hii watanzania wako kama panya ukiziba tundu hili anafukua upande wa pili sawa mkuu

Akili ni nywele,wao wana zima mimi naendelea kuchati Kama kawaida
 
Nasikitika kutangaza kifo cha simu yangu kitakacho tokea wiki 1 ijayo mazishi yatafanyika tarehe 16.6.2016 muda wowote kuanzia asubuhi.Taarifa ziwafike watanzania wote wenye cm feki.Marehemu enzi za ujana wake alifanikiwa kuwa na watoto wa(5)tu) ambao ni tigo voda airtel na haloteli memory card.Pia ameacha mjane mmoja ambaye ni betri TCRA wazilaze roho za cm zote feki Tanzania TCRA walitoa TCRA wametwaa jina la TCRA lihimidiwe, wahanga wote tuseme amen
Thubutu, tukosekane hewani useme tcra wamefanya yao
 
Nilishasema hili Zoezi ni Zimamomoto tu kama yale ya usajiri wa laini. Simu yangu niliambiwa feki lakini bado laini inasoma vizuri.
 
Back
Top Bottom