Umenena kweli mkuu...hata hivyo hawa jamaa wa TISS naona kama wako kisiasa zaidi na si kumtetea mtanzania wa kawaida na ndo sabab tuna vitu kama EPA,Mikataba mibov ya madin,Escro account, IPTL ,kutoroshwa twiga,ujangili na madudu mengine kibao? They would have foreseen that and prevent or advice...