RedDevil
JF-Expert Member
- Apr 30, 2009
- 2,367
- 1,523
Naamka asubuhi nawahi ofisini tayari kulitumikia taifa. Naingia ofisi ya mkuu wa idara na kukutana na hii habari ya masikitiko kuwa Prof. Lwambuka mtaalamu wa Structural Engineering na Mwalimu wangu wa Mwaka wa Kwanza....kafariki dunia.
Pumzika kwa Amani Prof. Lwambuka, sote tunjia moja.