Recent content by Matumbwela

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Asante kwa ufafanuzi!
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mmoja akipiga mara nyingi kilometer hazisomi?
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Data bundle Tanzania

    Inawezekana Wana boresha kila siku. Mimi nilinunua 1/2/2020
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Data bundle Tanzania

    TIGO napata Gb 1.5 kwa sh. 3000 kwa wiki.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Plate namba za magari zinavyokimbia hivi ni kweli vyuma vimekaza ?

    Siyo kweli, DGT imesajiliwa March 2016...DDF itakuwa kabla ya 2016. Najua DAS ni kabla ya 2015!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uzi wa matukio baada ya Kunywa Pombe

    Jamaa zangu wa2 walitoka Moshi kwenda Dsm mida ya jioni kwa gari binafsi, kufika Mombo wakaamua kupata kinywaji ili kupunguza umbali wa safari. Waliondoka wakiwa wamelewa kufika njia panda Segera wakaelekea Tanga badala ya kuelekea Dsm. Kufika Tanga wakadhani wapo Dsm, wakatafuta Guest house...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tangu makutano ya Ubungo yamewekwa hii Round About, foleni imepungua kiasi

    Inawezekana imepunguza foleni kwa kiasi fulani...lakini tukumbuke wenye magari wengi wanakwepa kupita Ubungo kwa kuogopa foleni. Hofu yangu foleni itarudi baada ya watu kusoma Uzi huu!!!
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni lipi lengo la RC Makonda na kamati yake ya hamasa kwa Taifa Stars?

    Asante kwa uchambuzi wako...sina majibu ya swali ulilouliza...nami siku zote najiuliza kwa Nini Kamati imeundwa kwa ajili ya mechi ya mwisho ambayo hata tukishinda kufuzu kwetu kutategemea matokeo ya mechi Kati ya Lesotho na Cape Verde! Pengone Kamati itaendelea kuwepo siku zijazo na kwa timu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania ujumbe bora Sana huu, tukumbushane tu

    Duh umefikiri Vizuri kwa upande mwingine wa shilingi. Hakika Mungu ndo aijuaye kesho yetu na vizazi vyetu...hakuna formula yenye uhakika asilimia 100.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Itigi: DED, rangers arrested over murder in church

    Ni habari njema kwamba sheria inafuata mkondo wake. Ila lugha (kiingereza) kweli sio ya nchi hii!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania MARA YAKO YA KWANZA KUFANYA MAPENZI ILIKUEAJE?

    Nilikuwa sijui maana ya kukojoa, demu aliponiambia nikojoe nikamuuliza nikojoe ndani akasema ndio... ikabidi nikojoe mkojo wa kawaida japo ulitoka kidogo! Nilijisikia vibaya baada ya kujua maana ya kukojoa wakati wa tendo!
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walokole sijui mnakwama wapi?

    Duh unasema na wewe uliokoka...uka-date na walokole watano!!!! Si ajabu tatizo liko kwako kwa kudhani walokole Ni malaika na ukashindwa kusimama kwenye zamu yako. Unaona mapungufu ya hao wa5 halafu wewe upo perfect!!!!
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

    Kama anafanya miamala kila siku...namba yake unayo!!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutaja tabia za wanaume zinazotukera!

    Kama issue ni mkwanja tu, basi tabia nyingine inayokera itakuwa ni Mwanaume ambaye ni bahili!
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kama mke wako ni mfanyakazi kwenye ofisi tofauti na wewe jua kuwa analiwa na kidume wa kazini kwao

    Inasikitisha, kuna tatizo kwenye mtazamo wa uhalisia wa Mambo.
Back
Top Bottom