Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

kunguni wa ulaya

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
3,954
2,000
habari wa JF,

kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema kuna dada mmoja kwa jina Nancy, ni mteja wangu wa nguvu ktk huduma za simu pesa(miamala). Kila siku lazima aje aweke/kutoa/kutuma si chini ya mil.3 hadi 5. sasa basi kutokana na jinsi alivyoumbika, rangi yake, sauti yake na jinsi alivyo mkarimu kiukweli nimempenda na naitaji awe wifi/shemeji yenu.

Lakini ninachohofia ni kuwa endapo nitamuelezea hisia zangu huenda atasusa kuja tena kunichangia miamala, ama akanichukulia kama mtu ninayetumia kazi yangu kujinufaisha/kuwarubuni wadada. Kiukweli ni mdada anaejielewa kaenda hewani, hana mda na watu yaani yupo busy na mambo yake.

Tangu nimejitambua sijawahi kumwogopa wala kuwa domo zege kwa mdada yeyote ila kwa huyu dada sijui tuu nimekuwaje.. ila hofu yangu kubwa ni kupoteza mteja ambae mchango wake ktk biashara yangu ni mkubwa mno..

Ushauri jamani kipi nifanye kwa huyu bi dada, nijitose tu liwalo na liwe ama nijizuie ili nisipoteze uteja nae??

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo amza kumzoea kisha mwambie kama ana muda weekend ijayo mida ya jioni una mazungumzo na yeye mafupi.
Anzia hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T

takangumu

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
246
500
Unajua iyo miamala anayofanya hela inatoka wapi na kwenda wapi? Unajua kwa uzuri wake kuna mtu jashamwamini kumpa milioni mbili tatu ww hata iyo simu ya pesa hujawai kumpa aingize namba
Kuna jamaa mmoja aliniambia alifikiria ukinunua gari zuri kuanzia milioni 70 unapewa na demu mzuri wa kukaa pembeni sbb kila kwenye gari zurii anaona demu mzurii pembeni tafuta helaa utapata mzurii wako
 
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
4,981
2,000
Unajua iyo miamala anayofanya hela inatoka wapi na kwenda wapi? Unajua kwa uzuri wake kuna mtu jashamwamini kumpa milioni mbili tatu ww hata iyo simu ya pesa hujawai kumpa aingize namba
Kuna jamaa mmoja aliniambia alifikiria ukinunua gari zuri kuanzia milioni 70 unapewa na demu mzuri wa kukaa pembeni sbb kila kwenye gari zurii anaona demu mzurii pembeni tafuta helaa utapata mzurii wako
hivi haya unayosema huwa unayafanya naww pia, isije ikawa unanishauuri mimi wakati wewe huwezi kutimiza hata ½ yake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom