Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,911
- 183,311
Duuuh!! Na bado ukaliendeleza[emoji134]Sioo...na ilikua ni shughuli ya nyumban..mpka leo wananikumbusha
Kweli umeshindikana[emoji1787]
Duuuh!! Na bado ukaliendeleza[emoji134]Sioo...na ilikua ni shughuli ya nyumban..mpka leo wananikumbusha
Masaa matatu nje usiku wa manane naangaika kulengesha funguo kwenye tundu la funguo wa geti.Na sikufanikiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ma mdogo alitaka kunibembeleza nilale
Uzi huu ni kwa ajili ya wale waliopiga gambe na kujikuta wanafanya mambo ya ajabu na kesho ulipoambiwa Ulibisha kweli.. Nilipiga gambe enzi nipo chuo sasa bhana nikataka kuondoka na Malaya flani wenzangu wakawa wananikatalia ikabdi wanifunge kamba wanipeleke mpaka Hostel kufika hostel unaambiwa nikakojoa kwenye korido na kutapika balaaa.. Kiukweli kesho yake nikasema sitalewa mpaka nipoteze network kabisa milele yote..
Tukio gani ulifanya la ajabu siku ulipopiga tungi ya maana??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao balaaJamaa zangu wa2 walitoka Moshi kwenda Dsm mida ya jioni kwa gari binafsi, kufika Mombo wakaamua kupata kinywaji ili kupunguza umbali wa safari. Waliondoka wakiwa wamelewa kufika njia panda Segera wakaelekea Tanga badala ya kuelekea Dsm.
Kufika Tanga wakadhani wapo Dsm, wakatafuta Guest house.. kuamka asubuhi wanajikuta wapo Tanga!
Usijali,na leo nimepanga kwenda Kwa demu wa mshkaji ambaye aliniazima 30,000 na hakurudisha ni miez 4 ss.Na alinitengenezea mazingira ya kumla nikadengua but leo naendaAisee noma sana ukilewa utatupa data mkuu
chuo dodoma nilipga tungi....kuenda toilet nikakaa kwenye lile poti usingz ukanipitia mpaka kesho asubuhi saa4...uzuri nilifunga mlango kwahyo kila aliyekua anakuja kugonga mlango anakuta kumefungwa