Recent content by Matukuta Jr

  1. Matukuta Jr

    Poleni Chadema, na mjifunze siasa za mbinu na mkakati hizi za Social Media hazitawasaidia

    Ni dhahiri, shairi CCM inazidi kuimarika mara baada ya uchaguzi mkuu 2015. Mabadiliko ya kimuundo na namna Chama kinavyoisimamia Serikali yake katika kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ndio silaha kubwa ya ushindi wa jana kwa Chama Cha Mapinduzi. Watani zetu Chadema wao wamejikita kwenye mitandao...
  2. Matukuta Jr

    Tumsaidia mtoto Ester Musa apate matibabu ya Operesheni yake.

    Hii HADUBINI YA TBC inakuwa na taarifa za kutoa machozi kila wakati kwa habari ambazo wanazirusha. Jana kwenye Taarifa ya habari kwenye sehemu ya Hadubini kulikuwa na habari ya mtoto Ester Musa aliyeanguka kwenye mti wa muembe 16 September 2016 na kufikia kichwa.(Mimi nimeiona taarifa hii...
  3. Matukuta Jr

    Majengo haya yamenikumbusha kitabu cha Dar es Salaam usiku

    Kitabu cha Marehemu Ben R. Mtobwa nimekikumbuka kutokana na majengo haya. Simulizi ya kitabu hiki inafundisha sana DAR ES SALAAM USIKU.
  4. Matukuta Jr

    Waliokuwa wafuasi wa Lowassa na kubaki CCM wanaendelea kusoma namba teuzi za JPM.

    Ha ha ha mwache huyo ndugu maana ndio anachokifikiria tu. Ukada wangu haupiwi katika uteuzi au kupewa cheo.
  5. Matukuta Jr

    Waliokuwa wafuasi wa Lowassa na kubaki CCM wanaendelea kusoma namba teuzi za JPM.

    Endelea kuishi kwenye nchi ya kusadikika zaidi kufikirika, wakati mwingie ni kupoteza muda hasa kwa namna anavyofikiri. Sitaacha kutoa pongezi kwa marafiki na makada wenzangu hasa vijana wanaopata uteuzi. Maana sina kinyongo na wala siwazii cheo maana maisha yanaendelea.
  6. Matukuta Jr

    Waliokuwa wafuasi wa Lowassa na kubaki CCM wanaendelea kusoma namba teuzi za JPM.

    Mussa Abdallah: Naona kijana umemkumbuka Ngosha Shilatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Matukuta Jr

    Waliokuwa wafuasi wa Lowassa na kubaki CCM wanaendelea kusoma namba teuzi za JPM.

    Duuh kumbe cheo ni mpaka uteuzi eeh? Ukiwa kwenye siasa hata kugombea nafasi na kupata ni cheo na wala sio uteuzi. Tutaendelea kugombea ndani ya CCM kama tukihitaji vyeo na madaraka yake.
  8. Matukuta Jr

    Waliokuwa wafuasi wa Lowassa na kubaki CCM wanaendelea kusoma namba teuzi za JPM.

    Kila zama na kitabu chake kikubwa wakapige kazi za wananchi huko maana mamlaka za uteuzi zimewaamini katika Utumishi wa Umma. Tupo kwa 7bu ya kuwasaidia Wananchi Wanyonge na ndivyo afanyavyo Dk Magufuli wala hateui kwa ajili ya makundi wala chuki. CCM ni salama na wote walioteuliwa hawana...
  9. Matukuta Jr

    Waliokuwa wafuasi wa Lowassa na kubaki CCM wanaendelea kusoma namba teuzi za JPM.

    Mimi kwangu Chama ni Itikadi pamoja na Sera zake na ndio maana nipo CCM. Pia usisahau kuwa mwanachama wa chama cha siasa ni Imani wala sio vyeo. Kwangu mimi naiunga mkono Serikali inayotokana na CCM pamoja na hatua mbalimbali anazichukua Mheshimiwa Rais Dk Magufuli. Haya masuala ya uteuzi...
  10. Matukuta Jr

    Kama simu ni FAKE, Je TECNO Shop wanawajibika kunibadilishia simu?

    Nenda kajaribishe ndugu bt Samsung ndio wako pouwa sana na bidhaa za dukani kwao.
  11. Matukuta Jr

    Magufuli awatesa CHADEMA. Wajumbe wamsulubu Mbowe

    Ben Saanane kwani hivi nawe upo?
  12. Matukuta Jr

    Uhuru wa Tanzania Bara?

    Kamuulize Mzazi wako maana anaifahamu vema historia!
  13. Matukuta Jr

    Lowassa anaidharau kamati ya Mangula

    Fikra hovu sana hizi. Yaani Lowassa asifanya shughuli zake kisa Kamati ya Mangula? Pole yako!
  14. Matukuta Jr

    Hawa wautambua ukweli na kujiunga na CCM kutokea Chadema.

    Gwakisa Burton Mwakasendo na Lameck John Lubote waachana rasmi na Chadema. Gwakisa alikuwa ni mmoja wa vijana wa Chadema aliyegombea nafasi ya juu ya BAVICHA Miaka iliyopita na pia mgombea ubunge wa Chama hicho RUNGWE MASHARIKI Mwaka 2010. Ndugu Lubote alikuwa ni Katibu wa Chadema Jimbo la...
Back
Top Bottom