Ushindi Daima
Member
- May 4, 2013
- 92
- 27
Leo hii tumeona teuzi za Makatibu Tawala (DAS) huku vijana wengi na makada wa CCM wakipata uteuzi huo.
Ila kuna vijana wa CCM Kindakindaki waliokuwa wafuasi wa Lowassa enzi akiwa CCM na kukipigania chama hicho wameendelea kusota kwa kuisoma namba chini ya Utawala huu wa Dk Magufuli.
Ukiangalia uteuzi wa Mawaziri hakuna hata mtu aliyekuwa na vina7 na Lowassa wakati akiwa CCM.
Kwenye Wakuu wa Mikoa napo jamaa wakaisoma namba, wakaja juzi kati orodha ya Wakuu wa Wilaya mwendo ukawa ni ule ule wa kuisoma namba. <br />Je makada hawa wana ugomvi na Dk Magufuli au ndio bado wanaangaliwa wakati wanaisoma namba?
Poleni sana na endeleeni kuvumilia nadhani mtakumbukwa kwenye UKURUGENZI WA HALMASHAURI au Ukatibu ndani ya Chama.