Matukuta Jr
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 207
- 27
Gwakisa Burton Mwakasendo na Lameck John Lubote waachana rasmi na Chadema.
Gwakisa alikuwa ni mmoja wa vijana wa Chadema aliyegombea nafasi ya juu ya BAVICHA Miaka iliyopita na pia mgombea ubunge wa Chama hicho RUNGWE MASHARIKI Mwaka 2010.
Ndugu Lubote alikuwa ni Katibu wa Chadema Jimbo la Mtera na pia aligombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi cha chama hicho.
Utaratibu wa kupewa kadi za CCM unaendelea hapa Dodoma.
Kwa habari kamili angalia vyombo vya habari kwenye Taarifa zao usiku waleo na magazeti ya kesho.