Recent content by Matiko Silla Munanka

  1. Matiko Silla Munanka

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

    Mnaopinga ndo Wajinga Hilo Swali hakuna haja ya kulikalia kooni kama nyinyi mnavofanya kwasababu ilo Swali lipo katika muktadha wa Dini na ukishema Dini Kila mtu anaamini anachoamini.
  2. Matiko Silla Munanka

    JamiiForums Tanzania Simba tunafeli kwenye suala la jezi. Kwanini matangazo mengi?

    Ujinga Bado ni Mkubwa kwenye Jamii yetu ila ni Safari ndefu siku tutakaa sawa tu.
  3. Matiko Silla Munanka

    JamiiForums Tanzania Wenye vitabu vya ujasusi PDF

    WENYE VITABU VYA KISWAHILI NA KINGEREZA VYA PDF
  4. Matiko Silla Munanka

    JamiiForums Tanzania Iringa ni pazuri kuliko Dodoma

    IRINGA IRINGA IRINGA DAAH NI PAZURI KWA KUISHI BINADAMU BADO NINA NDOTO ZA KURUDI KUISHI KULE NA FAMILIA YANGU,WATU WA PALE NI WAKARIM SANA. MWENYE CONNECTION YA KAZI IRINGA ANICHEKI 0742301930
  5. Matiko Silla Munanka

    JamiiForums Tanzania Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    UKIJUA MAANA YA DOGMA UTAELEWA ZAIDI.
  6. Matiko Silla Munanka

    JamiiForums Tanzania Habari naomba kusidiwa kila niki-Loggin Twitter inaniambia We Could not Verify your Credintial

    Habari naomba kusidiwa kila niki-Loggin Twitter inaniambia We Could not Verify your Credintial
  7. Matiko Silla Munanka

    JamiiForums Tanzania Natafuta English Course

    Habari Natafuta English Course nzuri ya Bei za kawaida achana na British council na Ras Simba Mwenye mwenye Kujua hizi Zingine.
  8. Matiko Silla Munanka

    JamiiForums Tanzania Natafuta

    Natafuta English Course Nzuri nje ya hizi British Council au Ras Simba gharama ziwe za kawaida
  9. Matiko Silla Munanka

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua Historia ya chuo cha Mlimani(UDSM)?

    Wana JF nani ana hii Historia ya kuanza hiki cha ya Mlimani (UDSM) Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Matiko Silla Munanka

    JamiiForums Tanzania Hii habari ya Jumatano ya Majivu asili yake ni nini!?

    Unatakiwa hujibu asili ni sehemu Fulani Au biblia mstari Fulani sio kuleta maneno mengi
  11. Matiko Silla Munanka

    JamiiForums Tanzania Mi ni mgeni nauliza kujitambulisha vitu muhimu ni vipi kwenye utambulisho

    Kwenye kujitambulisha vitu vya muhini vipi ili utambulisho wako uonekane umeshiba.
Back
Top Bottom