Jamani mimi nimebahatika kuishi nje ya nchi, nimeona jinsi viongozi waliofanya makosa serikalinim jinsi wanavyoshugulikiwa, hawa wakinalowasa serikali ingetakiwa iwasimamishe shughuli zote zinazohusihana na serikali, ubunge pia wangetakiwa wavuliwe wawe wananchi wa kawaida,ni upumbavu kumuacha...