ninachowaomba watanzania tuwe wazalen
do,kwa kukosa kwetu uzalendo ipo siku mtu
ataukataa uso wake,kisa mbaya! tunacholal
amika ni kupigwa,kuporwa,kuzalilishwa na
vyombo vya dola vya msumbiji.suala la mtu
kuhonga mwanamke dola 300 ni suala binafsi,lakini askari kuchukua paspoti na...